Maria Sarungi: Rais ana mamlaka ya kutosha. Bunge maalum siyo lazima iwe Bunge lenyewe

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,280
'
Hoja mojawapo ya CCM ni kwamba eti ili kubadili Katiba lazima Bunge ihusike na kama tunavyojua Bunge hili ni kijani na la Mwendazake - sasa tusubiri hadi after 2025 - aweke mambo sawa Yaani ni hivi Rais ana mamlaka ya kutosha! Bunge maalum siyo lazima iwe Bunge lenyewe!"- Maria Sarungi
 
Huyu Muhuni akiwa na ajenda yake anakibali "Rais ananguvu",Rais akiamua mambo yanayomkera anahoji "Rais anatoa wapi nguvu hizo" Ndio maana Diamond anawapelekesha.Pathetic

Nan anaempelekesha huyo msuka nywele wenu ambaye amepigwa chini ktk tuzo
Huyu Muhuni akiwa na ajenda yake anakibali "Rais ananguvu",Rais akiamua mambo yanayomkera anahoji "Rais anatoa wapi nguvu hizo" Ndio maana Diamond anawapelekesha.Pathetic
 
Sio kwa nchi hii
Wao ni nani katiba inakuja asema bwana, watang'ang'ana ila hawateweza asema bwana ,SSH rais Hana shida na katiba kiroho,vi jimtu wamshaurio TOKA ndani na nje ya Ikulu Ndo wamwalibiao, Mungu akasema atawafyeka KWA upanga butu wasipotubu, katiba yaja ,Tanzania mpya yaja hakuna wakuizia asema bwana , nyie mliopo KWA ajili ya matumbo yenu na familia zenu , huu mwezi wa sita tubuni ACHA Mungu atende na nchi yake vinginevyo mtakipata mtakacho
 
'
Hoja mojawapo ya CCM ni kwamba eti ili kubadili Katiba lazima Bunge ihusike na kama tunavyojua Bunge hili ni kijani na la Mwendazake - sasa tusubiri hadi after 2025 - aweke mambo sawa Yaani ni hivi Rais ana mamlaka ya kutosha! Bunge maalum siyo lazima iwe Bunge lenyewe!"- Maria Sarungi
Huyu Maria wenu kama anayosema ni kweli si amuambie tu mwenzie ajiandikie tu katiba yake halafu atutangazie tu kuwa ndo katiba kuanzia sasa
 
Jacob Zuma 15 miezi lupango tunahitaji katiba ya namna hiyo
'
Hoja mojawapo ya CCM ni kwamba eti ili kubadili Katiba lazima Bunge ihusike na kama tunavyojua Bunge hili ni kijani na la Mwendazake - sasa tusubiri hadi after 2025 - aweke mambo sawa Yaani ni hivi Rais ana mamlaka ya kutosha! Bunge maalum siyo lazima iwe Bunge lenyewe!"- Maria Sarungi
 
kama ana mamlaka ya kutosha kama asemavyo, basi si anauwezo wa kulifanya hilo bunge kuwa la CCM pia? wanaharakati wana ufahamu na uelewa wa karibu sana..
Nimegundua wanajiita wanaharakati wengi wana mambo yao mengine tu.

Halafu hata historia hawajui.
 
Back
Top Bottom