Ni kilomita 3 tu kutoka Ziwa Victoria mpaka Bugarika jirani na Bugando Hospital. maji bado ni changamoto kwa miaka 60 ya CCM madarakani poleni kwa ndugu zangu wa Mahina kilomita 7 mnaochota majitiririka kwenye mitaro.
Lengo langu ni kumkumbusha Rais Samia kwamba hata Marais walopita wote walikua na nia ya dhati kuinua uchumi wa Mtanzania kwa nini walisuasua jibu katiba 77 Mhe. Rais tunahitaji Katiba Mpya.