Heche: Soon anaweka kina Sabaya wake, Uchumi wa kati umeanguka lini?

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,735
6,291
"Kwa kauli hizi ameondoa kina Sabaya wachache wa Magufuli anaweka kina Sabaya wake, soon utekaji, mauji na utesaji wa watu utaanza.hivi nchi ambayo wewe ukiwa makamu wa rais mlisema mmeinua uchumi na kupeleka uchumi wa kati lini tena umeanguka mpaka unataka kuuinua? Heshimu katiba"-John Heche
 
Toa CCM madarakani, Haina jipya mnaomshangilia the so called MAMA mtamkana soon!

Katiba mpya haiwezi kuzuia marekebisho anayoyafanya Mh. Rais katika kuujenga uchumi waliouharibu yeye na jiwe. Huyu huyu alidai kuwa hata wananchi wasipowapa CCM kura za kutosha watarudi ikulu. Anachokifanya ni kujiosha ili ionekane hakuwa pamoja na JPM.

Kama JPM alikuwa wa hovyo Basi hata huyu ni walewale, anaenda kuharibu zaidi.

Tunatumia katiba inayoegemea busara za kiongozi mmoja badala ya Sheria halisi.
 
Uko sahihi kabisa. Hatuwezi kumpata malaika wa kuikomboa nchi hii kutoka dimbwi la umaskini huku tukiwa na raslimali za kutosha tu, kupitia ccm!
 
"Kwa kauli hizi ameondoa kina Sabaya wachache wa Magufuli anaweka kina Sabaya wake, soon utekaji, mauji na utesaji wa watu utaanza.hivi nchi ambayo wewe ukiwa makamu wa rais mlisema mmeinua uchumi na kupeleka uchumi wa kati lini tena umeanguka mpaka unataka kuuinua? Heshimu katiba"-John Heche
Kutoka hatua moja (down) kwenda hatua nyingine (up) ndio kunyanyua/Kupandisha, sasa kama uchumi ni wa kati, kwani hatuhitaji uchumi wa Juu? Kina Hence wahoji vitu vya msingi ebooo!!
 
Huyu mkojani asitutanie. Anaibaka katiba kwa kisingizio cha kuinua uchumi??

Sasa tunaanza maombi ya kumuombea naye awe kama jiwe. Watanzania hatufanyagi vurugu, hata korona hatujaifanyia vurugu. Huwa tunafanya maombi tu kila kitu kinakaa sawa.

Ewe mama chonde chonde, fuata na iheshimu katiba
 
Heche amepona lini ugonjwa wa akili?
Heche ni mzima kabisa,,sema wanatumika na maajenti wa CIA kuvuruga nchi,,syria style,,wanajua kabisa hata mchakato wa katiba uanze upya,mwisho wataishia kuweka mpira kwapani,sababu hawana majority ya kupitisha katiba waitakayo,wao wanaombea serikali iendelee kukataa ili wapate sababu za kuanzisha maandamano na harakati zingine,
Kama watakamatwa,wao ndo wanazidi kupata dola za kimarekani na kujipatia umaarufu,,
Jiulize tu, pesa za kuendesha chama zinatoka wapi na hawachukui ruzuku?
Jibu ni,majasusi wa nje ndio wanafund harakati zao,,
That is why JPM alikuaga chonjo sana kwenye transactions za pesa maana huko ndo zilipitia pesa za kufund harakati,,
Kwasasa waangalie sana foreign embassies,,itakuwa kuna watu wanaendaga kuvuta mipunga ya kufund haya mambo,,
Huwezi kuendesha chama bila pesa,,hawa wanapata pesa toka wapi wakati wamekataa ruzuku,?
Money laundry loading
 
Mama anaondoa wafungwa waliwekwa magerezani na mahabusu walioshikiliwa kiuonevu na awamu ya tano ili aanze kuweka wa kwake.

Nchi hii sijui imekumbwa na pepo gani?
Mungu tunakuomba kupitia wimbi la korona uendelee kunyoosha mkono wako mpk tutakapo mpata rais anaye heshimu katiba.
 
Toa CCM madarakani, Haina jipya mnaomshangilia the so called MAMA mtamkana soon!

Katiba mpya haiwezi kuzuia marekebisho anayoyafanya Mh. Rais katika kuujenga uchumi waliouharibu yeye na jiwe. Huyu huyu alidai kuwa hata wananchi wasipowapa CCM kura za kutosha watarudi ikulu. Anachokifanya ni kujiosha ili ionekane hakuwa pamoja na JPM.

Kama JPM alikuwa wa hovyo Basi hata huyu ni walewale, anaenda kuharibu zaidi.

Tunatumia katiba inayoegemea busara za kiongozi mmoja badala ya Sheria halisi.
Mkuu ni wewe huyu???
 
Heche ni mzima kabisa,,sema wanatumika na maajenti wa CIA kuvuruga nchi,,syria style,,wanajua kabisa hata mchakato wa katiba uanze upya,mwisho wataishia kuweka mpira kwapani,sababu hawana majority ya kupitisha katiba waitakayo,wao wanaombea serikali iendelee kukataa ili wapate sababu za kuanzisha maandamano na harakati zingine,
Kama watakamatwa,wao ndo wanazidi kupata dola za kimarekani na kujipatia umaarufu,,
Jiulize tu, pesa za kuendesha chama zinatoka wapi na hawachukui ruzuku?
Jibu ni,majasusi wa nje ndio wanafund harakati zao,,
That is why JPM alikuaga chonjo sana kwenye transactions za pesa maana huko ndo zilipitia pesa za kufund harakati,,
Kwasasa waangalie sana foreign embassies,,itakuwa kuna watu wanaendaga kuvuta mipunga ya kufund haya mambo,,
Huwezi kuendesha chama bila pesa,,hawa wanapata pesa toka wapi wakati wamekataa ruzuku,?
Money laundry loading

Nimecheka kwa nguvu, mlinajisi uchaguzi ili cdm ikose ruzuku mkiamini mtaiua, badala yake sasa mnapagawa kuwa chama kinaendeshwa na nini.
 
Back
Top Bottom