Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Egypt 2. Nigeria 3 . South Africa 4 . Morocco 5. Algeria 6. DR Congo 7. Ivory Coast 8 . Kenya 9 . Ghana 10 .Uganda. My Take Inashangaza eti DRC inatuzidi Hadi Tanzania Kwa viwanda...
6 Reactions
48 Replies
782 Views
Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X ====== Ali Mohamed Kibao Ameuawa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa...
41 Reactions
1K Replies
75K Views
  • Redirect
Mbunge wa Moshi mjini (CCM), Ibrahim Shayo maarufu Ibraline amepata ajali wilayani Same, baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka katika eneo la Kirinjiko wilayani humo kwenye msafara wa...
0 Reactions
Replies
Views
Naomba tuelewane ni chuo kikuu kilichojitosheleza chenye vitivo mbali mbali vya Uhandisi, Sheria, Ualimu, Biashara, Udaktari, n.k. Sio kampasi ya chuo kikuu au institute au college ambayo inatoa...
3 Reactions
20 Replies
460 Views
Hili jambo la Samia kushitakiwa ICC watu ( haters wa Samia na Machawa wa Samia) wote hawajui chochote kuhusu legal procedures za ICC. Machawa wanabwatuka kuwa kamwe Samia hawezi kufunguliwa kesi...
35 Reactions
70 Replies
2K Views
  • Featured
Februari 4, 2026 DAR ES SALAAM — Kwa muda mrefu, yamekuwepo maneno ya chini kwa chini, tetesi zilizopuuzwa kama umbea wa vijiweni. Lakini sasa, swali sio tena kama Tanzania inahusika kwenye...
51 Reactions
182 Replies
7K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna Faida ya Kuwa na Kiongozi Mcha Mungu ,kiongozi Mwenye Hofu ya Mungu ,kiongozi mwenye moyo wa Huruma ,upendo ,ukarimu na unyenyekevu kama ilivyo kwa Mama na Rais wetu...
0 Reactions
13 Replies
410 Views
Hello guys Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika. Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi...
50 Reactions
144 Replies
3K Views
Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini...
4 Reactions
18 Replies
376 Views
https://youtu.be/SF7xIDmUvSQ?si=j9ah5eb9048kNlgz
2 Reactions
37 Replies
926 Views
  • Redirect
AGNES MARWA ATOA TUZO KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOFANYA VIZURI MANISPAA YA MUSOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, leo tarehe 18 Februari, 2026 ametoa tuzo na zawadi maalum kwa...
1 Reactions
Replies
Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, leo tarehe 18 Februari, 2026 ametoa tuzo na zawadi maalum kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri katika Manispaa ya Musoma, ikiwa ni hatua ya...
1 Reactions
3 Replies
293 Views
Wakuu, Huyu Shahidi mwanzoni alisema kuwa anaishi Moshi Kiranyi. Lissu akamuuliza kuwa nani kampa nauli ya kuja kutoa ushahidi kwenye hiyo kesi, akasema kuwa hiyo nauli kapewa na mwanamke wake na...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesifu utendaji kazi wa Mbunge wa Lushoto ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe kwa...
0 Reactions
1 Replies
248 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius...
6 Reactions
11 Replies
451 Views
Na Emily Mwakilembe Kwa Tundu Lissu, Prof. Mpoki Ulisubisya ni kama Musa aliyeshuhudia mkono wa Mungu ukiwakomboa Waisraeli kutoka utumwani Misri; kama alivyoshuhudia Bahari ya Shamu ikipasuka...
5 Reactions
2 Replies
238 Views
Hayati Magufuli alikuwa smart hasa kwa kusimamia pesa za umma tangu akiwa Waziri mpaka anakuwa rais. Taifa lenye utajiri na rasilimali nyingi kama Tanzania sio la kukosa pesa za kujenga viwanja...
4 Reactions
5 Replies
231 Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo Februari 16, 2025, katika Mahakama Kuu, Masijala Ndogo, Dar es Salaam. Shahidi wa saba anatarajiwa...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Utashinda tu. Treason Case Hearing – July 01, 2025: Tanzanian Opposition Leader Tundu Lissu Calls on the State to Drop Charges, Citing Abuse of Court Process The treason case against the...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Priscus Tarimo, ameibuka mshindi katika kura za maoni za chama hicho kwa kupata kura 1,539 kati ya kura halali 3,288...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom