Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
https://x.com/AboDantee/status/2022431434254987763 Boss wa DP world Sultan Ahmed bin Sulayem amejiuzulu nafas yake baada ya kuhusika na mauaji ya washirika wake kibiashara! Boss huyu ametajwa...
1 Reactions
Replies
Views
Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC. Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu. Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa...
83 Reactions
633 Replies
10K Views
Huu mfumo japo umekuja na mazuri, lakini kwa sasa unageuka kero kwa Watumishi kwa baadhi ya huduma kutopatikana leo ikiwa ni siku ya 2 mfululizo. Mimi nashauri waufute huu mfumo au kuwe na...
4 Reactions
22 Replies
657 Views
Lipumba alichaguliwa mwaka 2024 kuendelea kuwa Mkiti wa CUF. Chadema wanaposema tuungane kufanya reforms na kupata katiba mpya kabla ya uchaguzi huwa mnawabeza. Kwa huyu mama kila mtu atafikiwa...
14 Reactions
36 Replies
831 Views
Maajabu mwenyekiti achaguliwe na chama alafu msajiri aje amtengue kwani mwenyekiti wa chama cha siasa aliteuliwa na msajiri? Kwani msajiri ndio alimpa kazi mwenyekiti wa chama cha siasa haya...
2 Reactions
6 Replies
382 Views
VIDEO: Siku chache baada ya viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA @ChademaTZ2) wakiongozwa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala Rugemeleza...
1 Reactions
12 Replies
351 Views
Kesi ya Lissu: Shahidi ambaye ni polisi anakwambiw uhaini maana yake ni kuharibu mali na uchochezi hapo hapo anasema hajui kifungu hicho.
5 Reactions
5 Replies
486 Views
Jalida kubwa kabisa duniani, limemwelezea Samia Suluhu Hassan kama kiongozi aliyeiletea matatizo makubwa sana Tanzania toka nchi ipate uhuru. The Economist wanasema chini ya Samia, Serikali imeua...
5 Reactions
16 Replies
532 Views
Jeshi la Magereza Tanzania linapenda kuujulisha umma kuwa, katika kutekeleza majukumu yake ya kuwapokea, kuwahifadhi na kuwarekebisha wafungwa na mahabusu, limeendelea kuzingatia usalama wao...
5 Reactions
60 Replies
1K Views
Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria. linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi. Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani? Je wale tusiokuwa na uwezo...
1 Reactions
19 Replies
393 Views
Zimetoka Tshirt zinaonesha picha ya Tundu Lissu na Ujumbe unaohusiana na Kesi yake zinauzwa kila moja TZS. 15,000/= haifahamiki hizo pesa za mauzo zinaenda wapi lakini pia BAVICHA hawana akili ya...
1 Reactions
10 Replies
282 Views
Suala la Msajiri kutengua uwenyekiti wa Lipumba hana hayo mamlaka na umekaa kisiasa kwanini ametengua baada ya kukosoa uchaguzi achunge sana huyo mzee. Hakuna mtu mwenye nguvu kuliko umma hakuna...
3 Reactions
17 Replies
340 Views
Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused. Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa...
3 Reactions
80 Replies
1K Views
Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupa maombi madogo ya dharura yaliyowasilishwa na wagombea wa ACT Wazalendo wa Uwakilishi kutoka Majimbo17, yaliyolenga kuzuia Wasimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria...
2 Reactions
5 Replies
246 Views
Google Translated: Chama ambacho kimeongoza Tanzania tangu uhuru kutoka Uingereza mwaka 1961 ni kiumbe cha ajabu. Chini ya Julius Nyerere, baba mwanzilishi wa nchi, Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
2 Reactions
2 Replies
259 Views
Sote ni mashahidi dhidi ya umoja, umadhubuti, umakini na umahiri wa serikali sikivu ya CCM iliyoundwa na inayoongozwa na makada kindakindaki wa chama cha mapinduzi DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA...
4 Reactions
19 Replies
279 Views
Yaani mtu unakaa na file mezani kwako wiki mbili au mwezi mzima unalisogeza tu kila ukiletewa chai...., kwani unapata faida gani au unafanya nini muda wote huo kutojali file ambalo ungeweza...
11 Reactions
32 Replies
778 Views
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akitimiza siku 100 madarakani tangu alipoapishwa Novemba 3, 2025, ahadi ya kuunda tume ya maridhiano na kuanza kwa mchakato wa katiba mpya imekuwa ikihojiwa. Lakini...
9 Reactions
25 Replies
861 Views
Utasikia oo Rais huyu ni katili sana ...kampeleka mahakamani anamtesa tu.anaweza kutoa neno moja tu na kesi hii ikaisha. Kama tunaamini hivyo ni ipi sababu yakumchokoza,kumdhihaki na kumkasirisha...
1 Reactions
22 Replies
383 Views
Back
Top Bottom