Nlisoma humu uzi kuwa baba wa Taifa la Zanzibar ni John Okello (RIP) Huyu ni Che Guevara wa East Africa. Mwanamapinduzi na mpigania Uhuru.
Huyu alitoka kwao Uganda kuja kuwakomboa Wazanzibar...
Naona kuna baadhi ya mawaziri wakiingia kama wana mambo yao vile wakiondoka yameisha?
Mfano waziri fulani alikuja na vazi la taifa , mwingine singeli mwingine contents creators, ........
CCM hupenda kusema "uhuru bila mipaka ni vurugu" kuashiria kuwa hakuna uhuru usio na mipaka.
Na CCM hutumia msemo huo kuhalalisha matumizi ya nguvu dhidi ya wanaowapinga kisiasa.
Lakini CCM...
Mimi nina mtoto anaitwa Freeman Sifi Leo, kwa sababu mtoto huyu alizaliwa tarehe ambayo Freeman alitoka jela na kukimbilia IKULU chapu.
Sasa najiuliza huyo mtoto aliyetelekezwa na mama yake hapo...
Mhe. Lissu anaendelea na Cross examination.
Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba uwaeleze waheshimiwa Majaji kama niliyoyasoma yanalingana na maelezo yako ya police.
Coplo Vicent: ndiyo yanalingana...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, ametembelea Gereza la Musoma Mjini na kutoa misaada mbalimbali kwa wafungwa wa dini ya Kiislamu na Kikristo ikiwa ni sehemu ya kuwaunga mkono...
Nadhani sisi wazanzibar ni wakati wa kukubaliana na ukweli mchungu na kuutambua mchango mkubwa sana uliofanywa na baba wa taifa huru, mwanamapinduzi, jasiri, mpigania uhuru JOHN OKELLO raia wa...
Wanajumuia,
Familia ya Professa James Shaba inasikitika kuwatangazia kuwa Mzee wetu Professa James Shaba amemaliza safari yake hapa duniani. Mzee wetu ametutoka jioni ya leo siku ya Jumanne...
Wakuu,
Kaeni karibu na uzi huu ili mpate updates ya kinachoendelea leo kwenye kesi ya leo
Mawakili wa Serikali wameshaingia Mahakamani lakini Majaji na Mshitakiwa bado hawajaingia.
Mwenyekiti...
Leo Februari 16, 2026, Jopo la Majaji watatu Mheshimiwa Jaji Fahamu, J. Mheshimiwa Jaji Chuma, na Mheshimiwa Jaji Kamana, limeamua kuwa kifungu cha 194 cha sheria ya mwenendo wa Makosa ya Jinai...
Waganda zaidi ya million 20 wanaamini Raisi mteule wao president elect ni Bobwine, kwa hiyo basi wanakusanya sahihi za watu Milioni 20 kuomba mashirika na nchi za kimataifa kumtambua kua Raisi...
MAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali...
Vipi Content Creator umeshaenda kuchukua mzigo?
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Wizara imepatiwa kiasi cha Tsh. 2 Bilioni itakayowawezesha watengenezaji wa...
Wakuu,
Baada ya media kuanza kuripoti kinachoendelea mahakamani na statements wanazotoa mashahidi kuchekesha na kuonekana ni za ajabu ajabu jamaa wameona sasa waanze kubana na kukataza hizo...
"Sisi tunajua Lissu alifanya Makosa ndio maana Familia ya Lissu iko tayari kwa maridhiano lakini Heche anafanya kila namna kuzuia maridhiano hayo" Habibu Mchange
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.