Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Uchumi wa Viwanda Afrika

Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Uchumi wa Viwanda Afrika

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,353
Reaction score
89,771
1. Egypt
2. Nigeria
3 . South Africa
4 . Morocco
5. Algeria
6. DR Congo
7. Ivory Coast
8 . Kenya
9 . Ghana
10 .Uganda.

My Take
Inashangaza eti DRC inatuzidi Hadi Tanzania Kwa viwanda.


View: https://www.threads.com/@pmainpro/post/DU3CiRaiCu2?xmt=AQF06fb20g_jzFCUnUq9cfdUzX9AqLIF1hxLlc8XI8Qgv4mKnIRbTLVCnpD3c3pGWqEXwGfh&slof=1

Pia soma hapa Licha ya Tanzania kutajwa kuwa na Viwanda 28,000 ila hatumo kwenye orodha ya Nchi 10 Za Viwanda Africa. Tumezidiwa na Zambia, Tunisia n.k | JamiiForums Licha ya Tanzania kutajwa kuwa na Viwanda 28,000 ila hatumo kwenye orodha ya Nchi 10 Za Viwanda Africa. Tumezidiwa na Zambia, Tunisia n.k
 
Inashangaza kwanini Tanzania isiwe na mashamba makubwa ya mazao ukubwa wa Kagera Sugar, Mtibwa Sugar, Kilombero Sugar, Bagamoyo Sugar ?

Ardhi tunayo, mito ya maji, maziwa makubwa lakini tukipita kando kando ya highway Morogoro Iringa, Mbeya au Mutukula, Bukoba, Muleba, Chato tunaona vijishamba vya familia

Nchi zingine kama South Africa, Ukraine n.k unakumbana na mashamba makubwa ya nafaka ukubwa wa Kagera sugar au Mtibws Sugar kandokando ya barabara au mitandao ya reli

Tanzania tunawekeza katika reli wakati hakuna mkakati wa mashamba kibao ya kuanzia hectare 100,000 pembeni ya mitandao ya barabara kuu na reli ikiwa tumeshindwa kuweka viwanda kibao pembeni mwa reli kama wakoloni walivyofanya Buguruni Dar es Salaam, Tanga, Morogoro n.k
 
Viwanda vipi mjuba, vya cherehani kushona nguo mitaani? Ungeanisha aina za viwanda tujue kama kweli tanzania haina viwanda hivyo
Kasome link ya ripoti.

Watanzania mna shida sana ya uelewa,umeambiwa manufacturing Sasa huelewi Hilo neno?
 
Inashangaza kwanini Tanzania isiwe na mashamba makubwa ya mazao ukubwa wa Kagera Sugar, Mtibwa Sugar, Kilombero Sugar, Bagamoyo Sugar ?

Ardhi tunayo, mito ya maji, maziwa makubwa lakini tukipita kando kando ya highway Morogoro Iringa, Mbeya au Mutukula, Bukoba, Muleba, Chato tunaona vijishamba vya familia

Nchi zingine kama South Africa, Ukraine n.k unakumbana na mashamba makubwa ya nafaka ukubwa wa Kagera sugar au Mtibws Sugar kandokando ya barabara au mitandao ya reli

Tanzania tunawekeza katika reli wakati hakuna mkakati wa mashamba kibao ya kuanzia hectare 100,000 pembeni ya mitandao ya barabara kuu na reli ikiwa tumeshindwa kuweka viwanda kibao pembeni mwa reli kama wakoloni walivyofanya Buguruni Dar es Salaam, Tanga, Morogoro n.k
Kwa sababu hakuna anaechukua initiative binafsi Kila mtu analaumu Serikali kama unavyotanya wewe hapa
 
Back
Top Bottom