https://www.youtube.com/watch?v=VvgEZ6hch6A
Kwa mara nyingine tena, kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar wa Oktoba 29 mwaka jana zimeambatana na kikwazo baada ya upande wa Jamhuri...
Napenda kuwakumbusha Raisi Samia na CCM wote kwamba neno demokrasia halina maana sawa na haki, na wala demokrasia haihalalishi haki, na pia inaweza kupindisha haki au hata kuhalalisha ukosefu wa...
Dubai CEO named in Epstein files resigns from DP World
Story by Omar Abdel-Baqui
DUBAI—DP World Chairman and Chief Executive Sultan Ahmed Bin Sulayem resigned from the Dubai-based global ports...
Sikutegemea kabisa kwa zama hizi kama serikali ingekuja na aina hii ya kuficha shahidi kwenye kiboksi cha plywood.
Teknologia imekua sana huwezi kutumia kisanduku cha maboksi kumficha mtu, sauti...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imeahirisha usikilizwaji wa mashahidi wa upande wa mashtaka katika kesi ya makosa ya mtandao inayomkabili Mchungaji Godfrey Malisa, baada ya mshtakiwa kuomba...
Bahati mbaya kwakuwa sasa maendeleo aliyoyafanya Samia yako wazi kabisa wanaomtukuza Magufuli wanaishia tu kusema angekuwa hai mpaka sasa tungekuwa mbali sana.
Ahahaha 😂 😂 😂 😂
Huu ni...
Wakuu,
Hili la Mkuu wa Mkoa kuwaita Wachina wahuni nyie wenzangu mnalionaje?
Mkisikiliza huko mwisho anasema:
"Sasa hawa ni wahuni. Pengine nyie mkiona hizo sura mnadhani hawa ni Wachina wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Watu wanakwenda kwenye nyumba za ibada kusikiliza neno la Mungu na siyo kwenda kusikiliza hisia za mtu na mtizamo wake wa kisiasa au mapenzi yake kwa chama fulani cha...
My Take
Hawa CAF wasisingizie maandalizi bali waendele straight kwenye sababu ya msingi ya Vurugu za Kisiasa Kenya ndio zitakwamisha ratiba ya mashindano ya Afcon.
Maoni yangu Waipokonye Kenya...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetua kwenye private airport. Ushahidi huu hapa.
Kwanini siku...
Brussels, Belgium
Makao Makuu ya
Umoja wa Ulaya / EU
KOMBO ATUMWA BELGIUM KUOMBA WASIKILIZWE KUHUSU VIKWAZO, TANZANIA YAPIGA MAGOTI NA KUIANGUKIA MIGUUNI EU / UMOJA WA ULAYA, CHONDE CHONDE ...
Nina hamu sana ya kuwauliza wagombea Urais wa vyama mbalimbali maswali haya chini ikiwa nitapata nafasi ya kushiriki kwenye mdaharo wa wagombea uraisi;
Miaka kadhaa iliyopita, Mwalimu Nyerere...
Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi
Sioni cha...
Huu ndio ukweli mchungu na ndio maana tupo katika halii hii na huenda tukaendelea kushuduhia mambo mengi zaidi ya haya tunayoyaona leo.
Pia, yaliyotokea Oktoba 29 ni ushahidii mwingine wa...
Suala la jeshi kuja na habari za maelekezo kutoka juu ni kinyume cha sheria jeshi liongozwe na sheria hatutambui kitu kinaitwa amri kitoka mbinguni.
Tunapinga vikali hii tabia iliyo zoeleka ya...
Wengi wa watunga maudhui katika mitandao ya kijamii hawakuwa na muongozo unaoeleweka katika kazi zao na hivyo wakajikuta wanabeba makapi ya taarifa kutoka social media za ughaibuni kama ilivyokuwa...
Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29.Habari njema ni kwamba Mungu amesikia sauti ya vilio vya watanzania waliouawa pamoja na vilio vya ndugu zao.Hukumu ipo tayari kwa...
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo (Taifa), Othman Masoud Othman amesema mchakato wa mazungumzo ya kuupatia suluhu ya kudumu mgogoro wa kisiasa Zanzibar unakwenda vyema.
Akizungumza na viongozi na...
Unaridhiana nini wakati nguvu zilizotumika za mauaji na utekaji wa maiti zilikuwa hazina tatizo.
Nilimsikia Rais anasema mauaji yaliyofanyika hayakuwa na tatizo japo anajua ni kinyume cha sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.