Ijue Taasisi ya Madrid Bar Association waliomshitaki Samia ICC

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,474
Reaction score
11,252
Hili jambo la Samia kushitakiwa ICC watu ( haters wa Samia na Machawa wa Samia) wote hawajui chochote kuhusu legal procedures za ICC.

Machawa wanabwatuka kuwa kamwe Samia hawezi kufunguliwa kesi na kutolewa arrest warrant.

Sasa ni hivi hii issues ya ICC ilikuwa ni very calculated mission, na organization zilizomshitaki Samia ni very very strong.

Samia ameshitakiwa na

(I) Intelwatch- ambayo director wake ni Dr Paula Christina, huyu mama December aliojiwa uingereza akisema Wana ushaidi wa kutosha Hadi kupitiliza kuwa Samia ndo alie engineer mauaji. Intelwatch Hawa Hawa waliruka na mauaji ya Ghaza hadi Netanyau akitolewa arrest warrant.

(ii) Madrid Bar Association - hiki ni chama Cha wanasheria Cha Madrid-Hispania kina wanasheria 75,000. Kina mawakili wa ICC( kumbuka kina Nassoro Katuga sijui Prof Kabudi sio mawakili wa ICC)

Nashangaa ninapoona watu wanabishana kuwa Samia hatofunguliwa kesi na ICC, Swali ni kwamba nyie chawa mnaijua ICC kuliko wanasheria 75,000 wa Madrid Bar Association??

So mpaka Sasa hivi hakuna mshindi, Bado ICC haijaweka wazi kama itafungua mashitaka although walalamikaji kina Dr Paula Wana confidence kuwa Samia hachomoki.

Solution- muda ni mwalimu mzuri mpaka huu mwaka inaisha tutajua mengi

My comment on this case kwa data za UN kuwa waliokufa KWENYE MO29 ni watu 700, basi hii namba imefikisha threshold ya ICC. Kama Jean Pierre Bemba according to ICC aliua raia 200-300. Basi there's no way out Samia atachomoka kwenye hili .

Aione
Pro Kabudi
Nassoro Katuga.
 
Vibaka wa mama nawasubiri
 
Machawa na bi Kizimkazi aka bi Chura hamchomoki kwenye mtanange huu. Muanze kuandaa m!k◇nd□ ya kunyea debe kwenye jela za ICC pamoja na huyo kikaragosi wenu aliyewaua mamia ya watanzania bila huruma.
Chawa wanajikuta Wana akiri kuliko mawakili 75,000 wa Madrid Bar Association,

Wakili anayetutetea Carl Guterez ni wakili mbobevu wa ICC, hapo vibaka kina Katuga uko hawakanyagi
 
Huyo nassorro unampa kichwa tu mtu afanye kazi kwa maelekezo nae ni WA kumpa credit?

Kuna mwingine alisema ataleta mange nchini. Kwenye vipaumbeke vyake aliona aanze na hicho
 
Hili jambo la Samia kushitakiwa ICC watu ( haters wa Samia na Machawa wa Samia) wote hawajui chochote kuhusu legal procedures za ICC.

Machawa wanabwatuka kuwa kamwe Samia hawezi kufunguliwa kesi na kutolewa arrest warrant.

Sasa ni hivi hii issues ya ICC ilikuwa ni very calculated mission, na organization zilizomshitaki Samia ni very very strong.

Samia ameshitakiwa na

(I) Intelwatch- ambayo director wake ni Dr Paula Christina, huyu mama December aliojiwa uingereza akisema Wana ushaidi wa kutosha Hadi kupitiliza kuwa Samia ndo alie engineer mauaji. Intelwatch Hawa Hawa waliruka na mauaji ya Ghaza hadi Netanyau akitolewa arrest warrant.

(ii) Madrid Bar Association - hiki ni chama Cha wanasheria Cha Madrid-Hispania kina wanasheria 75,000. Kina mawakili wa ICC( kumbuka kina Nassoro Katuga sijui Prof Kabudi sio mawakili wa ICC)

Nashangaa ninapoona watu wanabishana kuwa Samia hatofunguliwa kesi na ICC, Swali ni kwamba nyie chawa mnaijua ICC kuliko wanasheria 75,000 wa Madrid Bar Association??

So mpaka Sasa hivi hakuna mshindi, Bado ICC haijaweka wazi kama itafungua mashitaka although walalamikaji kina Dr Paula Wana confidence kuwa Samia hachomoki.

Solution- muda ni mwalimu mzuri mpaka huu mwaka inaisha tutajua mengi

My comment on this case kwa data za UN kuwa waliokufa KWENYE MO29 ni watu 700, basi hii namba imefikisha threshold ya ICC. Kama Jean Pierre Bemba according to ICC aliua raia 200-300. Basi there's no way out Samia atachomoka kwenye hili .

Aione
Pro Kabudi
Nassoro Katuga.

..hujasikia Ssh naye katafuta ma-lobbyist wa Washington DC wamsaidie kusafisha njia? Na hao majamaa wanalipwa fedha kubwa, wana influence, na wana wanasheria wabobevu.
 
Nataarifiwa hapa kuwa machawa kama akina Big show na wengine wengi wapo kwa Lucy wa Dovya mkatoliki wa kuchaji na kubust wakimkorogea uji kisha wamunyweshe baada ya hapo watakuja kwa wingi hapa kupopoa wasichokijua yamkin hata kirefu cha ICC hawakijui
😁😁
 
Back
Top Bottom