Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif amefariki ktk Hospitali ya Muhimbili. Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza siku 7 za maombolezo ya Kitaifa...
47 Reactions
404 Replies
77K Views
Kwenye Biblia Takatifu, waraka wa Pili wa Petro 1:5-6, imeandikwa hivi: ... katika imani yenu tieni na wema, na katika wema wenu maanifa, na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu...
5 Reactions
26 Replies
306 Views
Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Iringa wamepata ajali ya gari leo Februari 5, 2026, wakati wakirejea kutoka kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 49 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi...
11 Reactions
55 Replies
1K Views
1. Kuwa mstaarabu, usishupaze shingo, kiri uliteleza, omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele sijui reforms ni njaa tu. 2. Wananchi...
-2 Reactions
77 Replies
3K Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo, Februari 17, 2026, katika Mahakama Kuu, Masijala Ndogo, Dar es Salaam. Leo kesi hiyo itaendelea...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Mzee Wasira akihojiwa na Mwananchi amedai kuwa yale matukio yaliyotokea Oktoba 29 huwezi kuyaita maandamano bali uhalifu kwani wananchi waliharibu mali, kuiba pesa kwenye ATM.
0 Reactions
3 Replies
253 Views
Nawashauri tu, mnafanya dhidi ya Lissu iwe kweli. Sio kukaa vikao vya siri mkajadiliana dhidi ya kumkwamisha Lissu na kufarihisha wengine. Helo hapa duniani mnaweza mkajiona wajanja lkn siku...
10 Reactions
18 Replies
516 Views
Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kuiboresha Bandari ya Tanga ili iweze kukidhi ushindani wa kibiashara uliopo katika bandari za mwambao wa Bahari ya Hindi...
1 Reactions
1 Replies
129 Views
RC KHERI JAMES AWATAKA WAHANDISI WA UMWAGILIAJI KUTANGULIZA UZALENDO NA WELEDI KULINDA FEDHA ZA SERIKALI 📍NIRC Iringa. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James, amewataka Wahandisi wa Mikoa na...
1 Reactions
2 Replies
216 Views
1. Adhabu hii bado inaleta kizunguzungu kwa Watawala kuanzia Mkapa na kuendelea 2. Hivyo, Lissu asihofu lolote zaidi ya kukaa gerezani maisha Yake yote yaliyobaki hapa duniani mpaka afe mwenyewe...
3 Reactions
18 Replies
816 Views
Wote kipaumbele chao ni kuendelea kubaki madarakani. Ili dikteta aendelee kubaki madarakani lazima awe na hela za kuwalipa wapambe, wanajeshi na vyombo vingine vya dola. So akili ya dikteta siku...
0 Reactions
6 Replies
245 Views
Huu ushamba haufai kuachwa hivihivi, TISS, TRA, TEMESA sijui nani anahisika hapo atuondolee aibu hii
15 Reactions
91 Replies
3K Views
  • Redirect
Kila kitu hajui, Sasa imekuja kufanya nini mahakamani? Mhe. Lissu: Hawa ndio kesho watakuwa ma RPC siku inayofuata utashangaa anakuwa IGP
0 Reactions
Replies
Views
Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu...
10 Reactions
26 Replies
694 Views
Polisi hamuaminiki. Mmeteka watu maelfu mnasema hamihusiki, at the end of the day inafahamika pasi shaka kuwa you are the CULPRITS. Soka yuko wapi wakati aliripoti Chang'ombe na mkasema hamuhusiki.
4 Reactions
10 Replies
404 Views
Wakuu Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama...
20 Reactions
121 Replies
4K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, leo tarehe 16 Februari, 2026 ametoa sadaka maalum kwa viongozi wa dini ya Kiislamu katika Misikiti tofauti ya Musoma Mjini ikiwa ni sehemu ya...
2 Reactions
1 Replies
232 Views
Huyu Samia ni kama alizaliwa kuwa muigizaji akajikuta anapenda uhudumu wa ndege. Isivyo bahati akadondokea kwenye uraisi. Maigizo ya Samia: 1) ety kaanzisha wizara ya vijana hii wizara mbona ipo...
8 Reactions
6 Replies
382 Views
Mahakama Kuu, Masijala Ndogo Dar es Salaam, leo, Februari 17, 2026 imesikiliza mapingamizi katika Kesi Na. 8323/2025 yaliyowekwa na Said Issa Mohammed, aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema...
0 Reactions
1 Replies
280 Views
Mheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni.
4 Reactions
46 Replies
1K Views
Back
Top Bottom