Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dkt. Edward Hosea, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) amesema anafurahi kuona wananchi wanatoa madukuduku yao kuhusu Katiba Mpya, ameiomba Serikali kulitazama jambo hilo. Amesema ni...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Barua ya wazi kwa Rais mstaafu Kikwete. Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Nakuandikia barua hii mimi kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuonesha kukasirishwa, kutopendezewa na...
84 Reactions
376 Replies
75K Views
Habari wana Jamii Forum great thinkers wenza ngumu Leo naomba nikiri kwamba aliyekua Rais wa awamu ya 5 Dr. John Pombe Magufuli ndie mkombozi wangu ktk mahangaiko ya Kimaisha. Nimeiona watu wengi...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Makato kodi ya miamala haya hapa, kuanza kesho WEDNESDAY JULY 14 2021 Summary Ni kodi ya uzalendo inayokusudia kufanikisha ujenzi wa barabara vijijini na uboreshaji wa huduma nyingine za...
7 Reactions
72 Replies
12K Views
Hii kitu tayari imeshakuwa japo kwa asilimia kubwa inawaumiza wananchi walio wengi ishu yangu ndogo tu hapa vipi zanzibar itapewa pesa hii itajayopatikana katika kodi hii ya uzalendo maana na wao...
1 Reactions
3 Replies
799 Views
CCM itapigwa na Mungu na hili halina mjadala ni suala la muda tu tumeona ni jinsi gani Mwenyezi Mungu amewatahadharisha CCM kuwa maisha ya hapa duniani kuishi kwingi ni bahati nasibu na unaweza...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Waziri wa afya wa Tanzania Dorothy Gwajima amesema kwamba msimamo wake kuhusu janga la corona haujawahi kubadilika. Hii ni baada ya waziri huyo kupokea shutuma hasa mitandaoni kwamba awali katika...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Nadhani ipo nafasi ukitika katika utumishi unachobaki nacho ni kama binadamu mwenye imani kwamba Mungu yupo nikumshukuru Mungu nakuendelea kumtukuza kwa uhai na madaraka uliyopewa. Ukipewa...
16 Reactions
63 Replies
5K Views
Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu...
13 Reactions
119 Replies
9K Views
Habari waumini wa JF, Uzi huu hauna maudhui ya uchechezi naomba nieleweke. Kila serikali inapopitisha sheria mpya ambazo zinagusa maisha ya Watanzania moja kwa moja wananchi wa Tanzania huiunga...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Baada ya Rais Magufuli kutilia Mkazo Somo la Hisitoria, na kutishia kumfukuza kazi Waziri, Leo hii Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameita waandishi wa...
13 Reactions
183 Replies
20K Views
Alipokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani zilizuka taharuki. Miili kuokotwa fukweni baharini. Watu kupotea na kutoweka. Mpaka leo hajawahi kutoa majibu sahihi. Sasa hivi amepewa mikoba Wizara ya Fedha...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Bila aibu Ummy Mwalimu amesema ajira 1360 za walimu wa physics na 599 za walimu wa hesabu kwamba zimemaliza tatizo la uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi nchini. Kwangu kauli hiyo ya Ummy naona...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kodi za kizalendo zinategemewa kuongeza tija itakayoonekana kwa macho na siyo kuimbwa midomoni au kuandikwa kwenye vitambaa na skafu za chipukizi. Ni wazi kodi za " kizalendo" ambazo muasisi wake...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Nawasalimu ndugu watantania kwa jila la JMT Wiki kadhaa zilizopita walijitokeza watu wakimnanga mkuu wa nchi kwamba kwa anayoyafanya ya kulegeza kamba kwenye ukusanyaji kodi kwa kutotumia nguvu...
2 Reactions
3 Replies
695 Views
SERIKALI imeagiza zaidi ya aina nne za chanjo ya kujikinga na corona na zinatarajiwa kuanza kutumika ndani ya miezi mitatu au minne au kabla ya hapo. Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Mzee Warioba akiongea katika kipindi cha dak 45 cha ITV, alikuwa na hoja za msingi. Katika hizo, la msingi zaidi kwa taifa, alisema: “A new constitution is a must,” he said. “The draft...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasoma moja ya vitabu vilivyoandikwa na hayati Julius Kambarage Nyerere, kwa kweli vimejaa hekima na busara. Naipima Tanzania na vigezo vya maendeleo alivyoainisha Mwalimu Nyerere kwamba ni watu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Watanzania nawasalimu, Nimejaribu kuwaza ni wapi tunakoelekea nimekosa majibu. Viongozi wetu na watanzania wote ni mashuhuda kuwa tumeambiwa kuwa kuhusu nyongeza ya mishahara tusubiri uchumi...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Kumekuwa na tabia ya kipindi kirefu sana, za viongozi waliopo katika Wizara mbalimbali kuwatumia watumishi waliopo katika taasisi zilizopo chini ya Wizara hizi, kutengeneza taarifa mbalimbali...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…