Hoja za msingi za Warioba zilivyopotoshwa juu ya Katiba Mpya

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,451
2,000
Mzee Warioba akiongea katika kipindi cha dak 45 cha ITV, alikuwa na hoja za msingi.

IMG_20210704_080147_886.jpg


Katika hizo, la msingi zaidi kwa taifa, alisema:

“A new constitution is a must,” he said. “The draft constitution reflected the citizens’ views and their recommendations of how this nation is supposed to be governed.”

Hili si jambo dogo kwani hakuna popote ambako jitihada za kupata haki, uhuru, usawa au demokrasia zimewahi kupita salama. Jambo hili haliwezi kuwa dogo kote kwa wadai na hata wadaiwa.

Je, ni ajali kuwa hoja hii ya msingi kwetu kama taifa haikuonekana? Au ni jitihada za vyawa wale wale kwenye chimbo jipya? Au ni kwa nini katika maonyo yake wengine walisikia au kuona misisitizo tofauti?

Mzee Warioba alikuwa wazi:

"Katiba mpya haizuiliki."

Source: Katiba is a must, says Tanzania's Warioba | The East African

-----
My take:
Kwani hata kuna haja ya kutishana au kukumbushana wapi ilikuwa kuwa je?

Mbona inajulikana kuwa kabla ya chakula kuwiva ni shuruti kutokota vilivyo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom