Pendekezo: Baada ya CCM kung'olewa madarakani Oktoba 28, IGP Sirro awe wa Ofisa wa kwanza kung'olewa madarakani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,235
Ni kiongozi wa Jeshi Polisi aliyekosa weledi na asiye na uwezo wa kuona chanzo cha matatizo ya uchaguzi, intelijensia yake ni sifuri kabisa.

Pamoja na kufahamika wazi kabisa kwamba chanzo cha matatizo ya kisiasa ya Pemba na maeneo mengine nchi nzima ni uhuni wa Tume ya uchaguzi kupitia makada wa CCM wanaoitwa Wakurugenzi lakini yeye kama mkuu wa Polisi amefumba macho na kuamua kuwamwagia mikwara na vitisho raia wasio na hatia yoyote kwenye jambo hili , sasa yaweza kuwa ametumwa kutikisa kiberiti au labda amejituma mwenyewe.

Baada ya kumchunguza kwa jicho la tatu napendekeza kwa Rais mpya atakayetokana na CHADEMA kumfuta kazi mara moja ndugu Simon Sirro masaa machache tu baada ya kuapishwa , hafai kuongoza taasisi kubwa kama hii na anatumika .
 
Huu uzi ni wa kijinga, hata Lissu hawazi ujinga huu.
Lazima sheria na taratibu za ajira na mamlaka za uteuzi zifuatwe.
Cheo cha Sirro hakiwezi kushushwa tena, labda astaafishwe na sio kushushwa cheo.
Amemaliza vyeo vyote katika jeshi la polisi.
Ni kiongozi wa Jeshi polisi aliyekosa weledi na asiye na uwezo wa kuona chanzo cha matatizo ya uchaguzi , intelijensia yake ni sifuri kabisa .

Pamoja na kufahamika wazi kabisa kwamba chanzo cha matatizo ya kisiasa ya Pemba na maeneo mengine nchi nzima ni uhuni wa Tume ya uchaguzi kupitia makada wa ccm wanaoitwa Wakurugenzi lakini yeye kama mkuu wa Polisi amefumba macho na kuamua kuwamwagia mikwara na vitisho raia wasio na hatia yoyote kwenye jambo hili , sasa yaweza kuwa ametumwa kutikisa kiberiti au labda amejituma mwenyewe.

Baada ya kumchunguza kwa jicho la tatu napendekeza kwa Rais mpya atakayetokana na Chadema kumfuta kazi mara moja ndugu Simon Sirro masaa machache tu baada ya kuapishwa , hafai kuongoza taasisi kubwa kama hii na anatumika .
 
Simon zero anapokea maagizo tu kutoka kwa AI WISH AI KULDI BI AIJIPIII
 
sambamba na hilo lakini pia hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yake ikiwa ni pamoja na kupandishwa kizimbani yeye, mlevi mambosasa, mlevi shana na wengineo wote waliohusika katika kudhulumu uhuru na haki za watanzania!
 
Ni kiongozi wa Jeshi Polisi aliyekosa weledi na asiye na uwezo wa kuona chanzo cha matatizo ya uchaguzi , intelijensia yake ni sifuri kabisa .

Pamoja na kufahamika wazi kabisa kwamba chanzo cha matatizo ya kisiasa ya Pemba na maeneo mengine nchi nzima ni uhuni wa Tume ya uchaguzi kupitia makada wa CCM wanaoitwa Wakurugenzi lakini yeye kama mkuu wa Polisi amefumba macho na kuamua kuwamwagia mikwara na vitisho raia wasio na hatia yoyote kwenye jambo hili , sasa yaweza kuwa ametumwa kutikisa kiberiti au labda amejituma mwenyewe.

Baada ya kumchunguza kwa jicho la tatu napendekeza kwa Rais mpya atakayetokana na CHADEMA kumfuta kazi mara moja ndugu Simon Sirro masaa machache tu baada ya kuapishwa , hafai kuongoza taasisi kubwa kama hii na anatumika .
Sera zenu zimejaa chuki chuki na visasi.

Nendeni mkagombee Kenya, Loketo wenu ashawahi kusema yeye ana damu ya Kenya.
 
Iz vtu naotaga uck tu labda tuone hyo October huenda ndoto zkatimia
 
Kumwajibisha mtu hakuhusiani na chuki
wamekaririshwa upupu, kwao kulea wahalifu ndo sera nzuri, ukijitokeza mtu kuwafichua na kutaka washugulikiwe kwa mujibu wa sheria basi utaonekana siyo mzalendo na mpinzani. hapo ndipo wajinga na wapumbavu ambao ndo mtaji mkubwa wa ccm walipofikia
 
Back
Top Bottom