Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM ni familia za Maraisi tu hazigusiki wengine wote ni mafisi na machawa. Kama sio chawa basi wewe ni fisi mwoga. Watu ambao wanajiamini ni familia za Karume, Mwinyi, Samia na Kikwete.
2 Reactions
4 Replies
61 Views
Akiwasilisha hoja yake kwa hisia kali, Mhariri wa Blog ya The Chanzo Khalifa alihoji jinsi makosa yanayofanywa na waandishi wa habari wanapokuwa chumba cha habari (newsroom) yanavyoweza kugeuka na...
8 Reactions
33 Replies
446 Views
Puuzeni hawa machawa wanaolipwa pesa za walipa kodi kuja hapa kuwasafisha Wanzanzibari na wazalendo
14 Reactions
33 Replies
462 Views
Tangu atoe mafunzo yake kwa viongozi wa makanisa naona kila kukicha mambo yanamgeuka. Sijawahi na sitokaa niwe na Imani naye.
8 Reactions
30 Replies
556 Views
Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni Ndg. Paul Matiko Chacha amewataka Viongozi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujiepusha na vitendo vya rushwa wakati wa mchakato wa Uchaguzi na...
1 Reactions
1 Replies
55 Views
hivi anatuanaje kwanza? Hivi, inawezekanaje kuukana ukweli wa wazi kabisa kama huu, na ulioleta taharuki, uharibifu, maumivu na usumbufu kwa waTanzania zaidi ya milioni 70? Halafu eti ng'we...
0 Reactions
2 Replies
68 Views
Sijawahi kudhani baada ya Nyerere kutakuja kutokea Mtanganyika mwingine Ambaye atakuja kuwa Maarufu kwa kiwango hicho Kumbe nilikuwa nimepofushwa, Leo ni Lissu Taarifa zingine zinaeleza kwamba...
15 Reactions
54 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, CCM Imefanya Mabadiliko Ya Ghafla kwa Kuondoa Makatibu wake Wa Mikoa yooote 32 Nchini yaani Bara na Visiwani na kuweka Makaimu Wapya Watakaopigwa Msasa Wa Semina Kwa Siku 2.
3 Reactions
104 Replies
2K Views
Je, hii ni ishara kwamba viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, walio ghadhabishwa na mabadiliko hayo, wana maslahi na CCM, au nao ni wanachama wa ccm, lakini wako upinzani...
0 Reactions
4 Replies
45 Views
Kuna watu wenye Nia ovu wanataka kuingiza Cdm kwenye Utanganyika na Uzanzibar Wengine wakitaka kuingiza uislamu na ukristo NDANI ya Cdm Hao wote ni watu wabaya Sana Kwa Chadema. Chadema ni ya...
1 Reactions
15 Replies
539 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, ametangaza hadharani kuwa vyombo vyote vya dola na viongozi wa serikali ni mali halali...
5 Reactions
61 Replies
1K Views
Paul Chacha ni mzalendo wa kweli wa chama cha mapinduzi kwa kuwa msingi mkuu wa CCM ni kusema kweli daima. Na hakika Chacha kasema ukweli kuhusu hivyo vyombo vya ulinzi ambavyo watu wengi hapa...
3 Reactions
12 Replies
221 Views
Pepo kanisani. https://www.instagram.com/reel/DdzWfPLInes/?stkn=MXB0OHRtczVhMnZjMA==
0 Reactions
1 Replies
71 Views
Professor umefanya kazi nzuri sana kuonyesha mfano kuwa wanawake wanaweza kama wakipewa nafasi. Shule yako ya wasichana ni miongoni mwa shule bora hapa nchini. Najua hizo ni jitihada za kufanya...
0 Reactions
3 Replies
115 Views
Kutokana na kauli ya Kada wa CCM kua majeshi yote ni mali ya CCM na Hakuna jeshi lolote lililokanusha mpaka sasa, hivyo imethibitika kua majeshi yote ni mali ya CCM
1 Reactions
2 Replies
76 Views
Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake. Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola...
1 Reactions
21 Replies
199 Views
Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu...
7 Reactions
35 Replies
720 Views
Kuna kauli imetoka kwa kigogo wa ccm akisema vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni CCM na JWTZ ikatajwa. Yamepita masaa 24 hadi sasa hakuna tamko kutoka kwa jeshi la Wananchi JWTZ kukanusha hilo...
2 Reactions
18 Replies
562 Views
Wakuu Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII. Alisaidia sana...
56 Reactions
707 Replies
93K Views
Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza. Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui...
1 Reactions
16 Replies
67 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…