Ilianza siku 100
Ikafuata Tume ya Chande
Zikapita purukushani za PM mikoani
Hali ikawa tafrani waraka ukaja kutoka kila kona
Waraka unaisha tarehe August 10 sisi tumekuja na tume
Tume imepewa miezi 5 na option ya kuongezewa muda Jan 2027 na kuendelea hiyooooooooooooooooooooo
watakuja na stori mupya ndani ya hiyo miaka miwili itakayobaki kumbuka kuanzia Feb 2030 Joto ya la uchaguzi litapanda hivyo hatuhesabu huo mwaka
Plan iliyopo ni kupita 28na 29 tu hivyo mambo yatakuwa yale yale na atamaliza muda huo bila tume ya uchaguzi wala katiba mpya😛😛