Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Tozo za miamala ya simu zimeunganisha mihimili bunge na serikali dhidi ya wananchi na walaji. Katiba inatenganisha mihimili hii miwili. Tozo zimeiunganisha. Ni kinyume cha katiba. Wabunge...
29 Reactions
44 Replies
4K Views
Naomba sana VIONGOZI na WABUNGE wetu SOMENI Kitabu Cha ISAYA 10:1-4 Kuna Kitu MUNGU wetu KATUAMBIA.
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika maisha ya mwanadamu, mambo mawili: mwanzo na mwisho, ni hakika. Japo ni Mungu pekee ajuaye, kwa upendeleo, sisi tumeuona mwanzo na mwisho wako. Tumejifunza mengi kupitia maisha na kifo...
32 Reactions
88 Replies
6K Views
Tuna wabunge dhaifu na wengi wasiojielewa hawa wa CCM waliopita bila kupingwa na kulindwa na Mamlaka. Bungeni hawana uwezo wa kujenga hoja na wala hawana uelewa wa mambo ya Uchumi na Maendeleo...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wanakamati? Naomba kuuliza kaswali kadogo tu. Hivi nchi hii ya Tanzania rushwa si kosa tena? Polisi kwenye vituo vyao wako busy kuchukua rushwa bila haya. Barabarani pia wanachukua rushwa...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari ndigu zangu! Mimi kila siku natamani sana kuona nchi yangu ikipiga hatua na kufika sehemu ambayo itakuwa ni suluhusho la maisha magumu tuliyonayo kisiasa, kihistoria na kiuchumi. Nchi hii...
2 Reactions
1 Replies
809 Views
Inafahamika kwamba kila siku duniani kote wafanyabiashara wanapanga mbinu za kila aina kuweza kukwepa kodi,ndio maana watu kama Ronaldo na Messi wamewahi kukamatwa na kushtakiwa kwa kukwepa kodi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii swala la tozo na miamala ya simu hata likiondolewa basi Watanzania tupate funzo la kuwa, wafuatiliaji wa mambo na sio yakishaanza telekezwa ndio tuanze kelele nyingi. Nasema haya kwa sababu...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga . Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Prof Shukuru Manya, Naibu waziri wa madini ateuliwe kuwa waziri wa madini. Ninasema hivi kwa sababu zifuatazo:- 1.ameongoza tume ya madini Kwa uadilifu mkubwa. 2. Amesomea masuala ya madini na...
6 Reactions
47 Replies
5K Views
Kama itashindikana kuiondoa kwa kuwa ipo tayari kwenye budget basi na iwe fixed amount. Kodi ya uzalendo ingekuwa na tija kama ingekuwa ni fixed amount. Mfano wangesema wakate Tshs. 10 kila siku...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mchungaji Msigwa amesema kudai katiba mpya siyo kosa la jinai bali ni haki ya kikatiba ya kila mtanzania, hivyo kwa utaratibu unaotumika sasa watakamatwa wengi yaani na mchungaji Msigwa akiwemo...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Baada ya kukamilisha Operesheni Haki kwenye kanda 10 za Tanzania kwa mafanikio makubwa, sasa ni zamu ya Kimataifa, Tundu Lissu, John Mnyika pamoja na mwamba mwenyewe Freeman Mbowe kuunguruma...
12 Reactions
34 Replies
4K Views
Rais Samia, hivi karibuni ametoa kauli nyingi nzuri na ametenda baadhi ya mambo mazuri. Kwa kauli: 1) Ameihakikishia jamii ya kimataifa kuwa utawala wake utazingatia demokrasia na haki. 2)...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Hello guys, Nauza kitabu hicho kimeandikwa kwa koswahili kabisa..,njoo inbox (Bei Ni tshs 5000 tu) ujipatie., Na weekend yako iwe mujarabu huku ukijikinga na COVID 19 Pata dondoo kidogo hapo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Tafakuru! Neno MTU kuitwa MHESHIMIWA ni heshima,kumkweza,anamamlaka,au ni ushenzi na ufinyu wa fikra. Napendekeza wanajeshi waitwe Mheshimiwa Afande......... Wanasiasa waitwe Ndugu........ RAIA...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Jana nilimsikiliza Waziri Mwigulu pale TBC nikapata mashaka sana na kuona ameamua kudanganya kutaka kuupooza umma. Akijaribu kufafanua amedai kuwa makato ya tozo hizi yanaenda kwenye huduma za...
24 Reactions
58 Replies
6K Views
Watanzania ni watu wa ajabu sana sijui ni sababu ya upole na unyenyekevu au uoga! La sivyo wako katika lindi la ujinga! Mwaka 2019 wananchi wa Sudan waliiondoa serikali ya Rais Omary al Bashir...
19 Reactions
76 Replies
6K Views
UFAFANUZI WA KINACHOSAMBAZWA MITANDAONI KUHUSU DC MURO Mimi mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ikungi Ndugu Mika Lucas likapakapa naomba kuweka wazi ukweli wa tukio linalotajwa katika mitandao ya...
7 Reactions
54 Replies
5K Views
Chama Cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Tanzania, TCCIA Kimefanya Uchaguzi Mkuu na Kumchagua Kwa kushindo Mwenyekiti aliyemaliza muda wake , Wolter Maeda ambaye alitetea nafasi yake kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…