Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani amefanya ziara kisiwa cha Maisome Mwanza na kuagiza kampuni binafsi inayosambaza Umeme katika kisiwa hicho kutoza bei elekezi ya Serikali ya Umeme Vijijini ya Tsh...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilipomsikia Mh Mwigulu kuwa wameagizwa na Mama kuangalia upya Tozo za miamala kuwa zinatia shaka ghafla nimekumbuka suala la Bando za data kupunguzwa kipindi kile na Mh Ndugulile. Zilipopunguzwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mhe Rais wangu, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kazi iendelee! Najua Mhe Rais pengine utasema huu ni ushauri wa mitandaoni na huwezi kufanyia kazi maoni ya...
23 Reactions
107 Replies
11K Views
Nimsoma hili agizo la Mh Makamu wa Rais. Inasikitisha halafu inafurahisha kwa kweli. Nadhani lengo liko palepale yaani kila Msala anatupiwa Shujaa. Hili nalo kwa lugha ya picha inaonekana...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Katika awamu hii ya sita hakuna jambo ambalo linapaswa kupongezwa kama utulivu, hekima na maarifa aliyoyaonyesha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi hiki ambacho alipitia magumu kama Rais wa Nchi...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Akisifu na kupongeza maamuzi ya Rais Samia Suluhu kuhusu tozo za miamala. Akiwa kwenye mahojiano katika luninga, EATV kipindi cha joto la asubuhi alisema "Watanzania wataumia kidogo kuliko...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro "Sheria iko wazi. 1. Awe raia halisi wa Tanzania 2. Umri 3. Diplomasia 4. Makampuni. Lakini zaidi tunazingati mwombaji awe na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ya Ukweli na Maridhiano, ili kutibu majeraha ya makundi mbalimbali ya kijamii yaliyotokana na...
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa
7 Reactions
49 Replies
6K Views
Hakuna ataye kuwa salama kwenye hili na matokeo mtayashudia mkiwa bado mnapumua. Kamali zimekuwanyingi katka awamu hii ya utawala na imekuwa halali eti kwa kuwa wwanakula kodi yao lakini je mmejua...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba niseme haya ni maoni yangu binafsi, na ni mtizamo wangu binafsi, na ndivyo ilivyo. Bunge la Tanzania lililojaa utitiri wa wabunge hadi wabunge feki, ni mzigo kwa nchi ni hasara kwa nchi...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Tunapojiita kua tuna bunge badala ya kufanya kazi ya kuishauri na kuisimamia serikali badala yake linafanya kazi ya kuitetea serikali ni hasara kwa taifa kupoteza mabilioni ya shilingi kuwalipa...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
P. Katambi; mbunge wa Shinyanga mjini leo 18/07/2021. Alitembelea mnada ng'ombe wa old shy. Sikuona dhumuni la kuzuru hapo mnadani, zaidi ya kuwanunulia soda baadhi ya mwanachi hapo mnadani. Na...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Ni miaka mingi sana wapinzani tumekuwa tukipigania maslahi ya taifa kwa udi na uvumba. Kwa miaka yote tumekuwa na matokeo chanya ikiwemo kuzipinga bajeti nyonyaji kwa wananchi. Ilifika mahali...
26 Reactions
49 Replies
4K Views
Kampuni zinalalamika maana yake serikali haikushirikisha wadau muhimu Wananchi wanalalamika maana yake wabunge waliagizwa na nani kufanya yale My Take Rais ajiuzulu
22 Reactions
67 Replies
8K Views
ANGALIZO: uzi huu hauna uhusiano wowote na tukio lolote lililotokea hivi karibuni au siku za nyuma hapa nchini. PEGASUS ni mfumo hatari wa kudukua mawasiliano uliotengenezwa na kampuni ya Israel...
20 Reactions
55 Replies
7K Views
Mbunge wa Buchosa, Shigongo amesema Serikali ni sikivu na yeye kama Mbunge ameshawasiliana na Rais wa JMT ili aziangalie kwa upya hizi tozo za miamala ya simu. Nawasalimu kwa jina la JMT!
6 Reactions
93 Replies
7K Views
Sauti za wananchi zimesikika Binafsi ninapongeza maamuzi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala hili. Sioni haja ya watu kugeuka tena kusema mbona Rais huyo huyo alisaini sheria na sasa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NAIBU WAZIRI ATUA SAME MASHARIKI KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAWASILIANO YA SIMU, DATA NA REDIO Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amefanya ziara ya kukagua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…