Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini, George Simbachaweme amesema Mamlaka inaendelea kugawa vitambulisho katika baadhi ya maeneo licha ya kuwa vinatengenezwa kwa uchache. Amesema kwa mujibu wa...
2 Reactions
44 Replies
8K Views
Hili swala la tozo kwenye miamala ya simu Mwigulu na wenzake wamekosea padogo sana kama wachumi. Wakati wanaijadili bungeni walituaminisha kuwa makato yatakuwa kati ya Tsh 10 hadi Tsh.1000/...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Kituo cha haki za binadamu Tanzania (LHRC) kimempongeza Rais Samia kwa namna alivyoingilia kati swala la tozo za kizalendo zilizoanza kuumiza na kutesa wananchi LHRC wamemuomba Rais Samia...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano. Nikupongeze wewe binafsi Mh.Rias kwa salamu ambayo inaonda matabaka na kuleta umoja ndani ya Jamuhuri ya Muungano. Hongera sana kwa ubunifu huu...
0 Reactions
5 Replies
809 Views
Weekend hii Dr. Mwigulu amekumbuka kwenda kutoa shukrani jimboni kwake na kama kawaida kaendelea kuongea misamiati ya KiNyiramba huku akiwaona wasikilizaji wake kama hawana uelewa wowote ule...
1 Reactions
1 Replies
794 Views
Mbowe alipotoka kumzika kaka yake aliyekufa kwa Corona alitakiwa kujiweka Lockdown kunusuru wengine badala ya kuendelea kuzurura kwenye mikusanyiko ya watu. Corona inaonyesha imepiga kambi kwenye...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
Hii inaitwa: mtoto akililia wembe, mpe.
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Fikra zenye kutawaliwa na ubinafsi (Egocentric Thinking) ni matokeo ya binadamu kwa asili kutojali haki na mahitaji ya wengine.Kwa asili binadamu hatukubali mitazamo ya wengine, na pia hatuoni...
6 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shigongo amewaomba wananchi kuwa wavumilivu na kulipa tozo ya miamala ya simu tuweze kuinua uchumi ambao umeporomoka, amewataka wananchi kuvumilia machungu kwa miezi kuanzia kumi na nane au zaidi...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
DODOMA - JULAI 19, 2021 TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI ACHUKUA RUSHWA ILI MWANAFUNZI ASIENDE SHULE Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma leo Julai 19...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Nimekusikia majuzi ukisema, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe kina Halima Mdee na wenzake waliokimbilia CCM kwa tamaa za pesa za ubunge. Unachotaka kufanya ni kutudharau sisi wanachama wote wa...
21 Reactions
90 Replies
6K Views
Mh @mwigulunchemba hii hoja ya kwamba serikali imekusudia kuingiza au kuachia tsh.trilion tano kupitia kulipa wazabuni wanaoidai serikali ili ziingia katika mzunguko na kwa wananchi, hoja hii na...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Waziri wa Nishati, Dkt. Kalemani amefanya ziara kisiwa cha Maisome Mwanza na kuagiza kampuni binafsi inayosambaza Umeme katika kisiwa hicho kutoza bei elekezi ya Serikali ya Umeme Vijijini ya Tsh...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilipomsikia Mh Mwigulu kuwa wameagizwa na Mama kuangalia upya Tozo za miamala kuwa zinatia shaka ghafla nimekumbuka suala la Bando za data kupunguzwa kipindi kile na Mh Ndugulile. Zilipopunguzwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mhe Rais wangu, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kazi iendelee! Najua Mhe Rais pengine utasema huu ni ushauri wa mitandaoni na huwezi kufanyia kazi maoni ya...
23 Reactions
107 Replies
11K Views
Nimsoma hili agizo la Mh Makamu wa Rais. Inasikitisha halafu inafurahisha kwa kweli. Nadhani lengo liko palepale yaani kila Msala anatupiwa Shujaa. Hili nalo kwa lugha ya picha inaonekana...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Katika awamu hii ya sita hakuna jambo ambalo linapaswa kupongezwa kama utulivu, hekima na maarifa aliyoyaonyesha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi hiki ambacho alipitia magumu kama Rais wa Nchi...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…