johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,821
- 141,728
Kituo cha haki za binadamu Tanzania (LHRC) kimempongeza Rais Samia kwa namna alivyoingilia kati swala la tozo za kizalendo zilizoanza kuumiza na kutesa wananchi
LHRC wamemuomba Rais Samia kuzifuta kabisa tozo hizo kwani zinaua uchumi badala ya kuujenga.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
LHRC wamemuomba Rais Samia kuzifuta kabisa tozo hizo kwani zinaua uchumi badala ya kuujenga.
Nawasalimu kwa jina la JMT!