DC Jerry Muro apiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya ya Ikungi

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,933
25,268
IMG_20210716_082626.jpg

DC wa Ikungi Jerry Muro amepiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya hiyo pamoja na kusanyiko lolote linaloashiria kuhamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya hadhara.DC huyo amesema wilaya hiyo haihitaji katiba bali inahitaji huduma kama maji,shule.
 
View attachment 1855570

Huyo Muro kiboko yake ni Haji Manara wa Wekundu wa Msimbazi!
 
Huyu na sabaya wote ni watu wa Meko. Hawastahili kupewa madaraka awamu hii. Watapasuka mapema sana
 
Watu waliolelewa na single parent tena Mama ndivyo walivyo
Ila anguko lake haliko mbali
Subiri
 
Hawa vijana wajingawajinga wakivuni ndip wamaharibu taifa hili..... Mbwa kabisa
 
Huyo Muro kiboko yake ni Haji Manara wa Wekundu wa Msimbazi!
Labda uwe una maanisha kinyume chake

Muro ndiye kiboko cha domo kaya Haji Manara

Kauli moja ya Muro dhidi ya Manara lazima usikie sympath mfano: ooh unajua Manara ni mlemavu so sio vizuri kumsema vile, mara ooh ka mtukania dini yake

Ila hichi anachofanya cha kupinga katiba mpya si kubaliani naye
 
View attachment 1855570
DC wa Ikungi Jerry Muro amepiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya hiyo pamoja na kusanyiko lolote linaloashiria kuhamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya hadhara.DC huyo amesema wilaya hiyo haihitaji katiba bali inahitaji huduma kama maji,shule.
Uwezi zuia watu wasifikiri kuhusu haki zao afu yeye anakula national cake
 
Hivi katiba mpya ndio inaleta bomba la maji?
hata mkuu wa wilaya haleti maji. kinacholeta maji ni mfumo thabiti unaosimamia uletwaji maji. huo mfumo unaletwa na katiba inayoundwa kusimamia uletwa bomba la maji na kusimamiwa kufanya shughuli yake. sio kila mwanamirembe aiingilie anavyotaka afanye anayoyataka yeye
 
Kwa hiyo sasa hivi ikungi hakuna maji kwa kuwa tuna katiba ya Zamani?
Dunderhead.com
 
DC wa Ikungi mh Muro amepiga marufuku watu kuongelea habari za katiba mpya.

Wakati rais wa nchi anaruhusu uhuru wa kutoa mawazo kwa kila mtanzania huyu dc anaturudisha kwenye mfumo wa ujima wa awamu ya 5.

Naomba tulijadili hili kwa kina kama huyu dc anastahili kuendelea kuhudumu kwenye ofisi za walipa kodi.
Screenshot_20210716-095142.jpg
 
Kwa hiyo sasa hivi ikungi hakuna maji kwa kuwa tuna katiba ya Zamani?
Dunderhead.com
hakuna maji kwa sababu hakuna fair resources distribution system ambayo haitajwi kwa jina lake kwenye katiba ya sasa. zaidi hata kama huo mfumo umetajwa kwenye katiba ya sasa hata kwa kidogo hakuna wa kuhakikisha unasimamiwa kama ulivyoandikwa zaidi ya mtu mmoja kuelekeza kifanywe anachotaka katika maeneo ya nchi anayoyataka kwa watu anaowataka yeye labda sababu ya umilembe
 
Arudi UVCCM akawe sehemu ya mipasho.
Hiyo nafasi siyo ya propaganda.
Ndio maana watu wanataka nafasi hiyo ifutwe.
 
Back
Top Bottom