Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwigulu Nchemba kasema asiyetaka tozo ya miamala ahamie Burundi. Ni kwanini asiseme kuhamia nchi nyingine. Burundi kunani?
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Enzi hizo waliitwa washika mfuko wa hazina lakini siku hizi wanaitwa wahazini ambaye ni sawa tu na waziri wa fedha serikalini au hata Daruso au IFMSO. Kwenye vyama vya siasa wanaitwa Katibu wa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Jana, tarehe 19 Julai 2021, Mwenyekliti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, aliongea na waandishi wa habari mjini Mwanza. Katika kikao hicho Mbowe alilaani vikali uamuzi wa Jeshila Polisi mkoani...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
. Ni mkweli . Sio mnafiki . Anasimamia ukweli . Ni mcha MUNGU . Hajipendekezi . Na kubwa Zaidi ni mbobevu na bingwa kwenye mambo ya uchumi. Kama tunahitaji watu wa kulisaidia Taifa basi tuwatumie...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Kaimu Postamata Mkuu Macrice Daniel Mbodo amewataka viongozi wa vyama vya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania kushirikiana na uongozi wa Shirika katika kuhakikisha wafanyakazi wanatimiza...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau! Kama mjuavyo, kikatiba ni Mh. Rais wa nchi pekee aliyekuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Lakini kwa siku za hivi karibuni listi imeongezwa kidogo ambapo MR, WM, JM, Spika na NS nao wana kinga...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wabunge wni wawakilishi wa wananchi ambao wapo kwa ajili ya kutetea maslahi ya wananchi. Hii ni tafsiri ya kikatiba lakini kiuhalisia hali ni tofauti. Niwakumbushe ndugu zangu kulikuwa na...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Vp Wadau, Katika serikali ya mapinduzi Zanzibar huwa nasikiaga makamu wa kwanza wa Rais,makamu wa pili wa Rais n.k Je, ni kwa nini wanaitwa hivyo makamu wa kwanza/pili wa Rais? Na mbona huku...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Madhara ya bunge (a) Kujaa wanaccm, (b) Kuwa chombo cha kuimba nyimbo za sifa badala ya chombo cha kuisimamia na kuikosoa serikali, .....yamedhihirika katika sakata la tozo za miamala. Rais...
22 Reactions
52 Replies
2K Views
Malalamiko ya wananchi kuhusu uchaguzi mdogo wa Konde: "CCM hawana haya, hawaoni vibaya, wameyarudia yaleyale waliyozoea"; Wananchi wa Zanzibar huko Pemba wanasema wapo tayari kurudi kule kule kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kulingana na 'statistics on mobile telecom services in africa- global market', m-pesa, tigo-pesa, na airtel money, jan- mar 2020 zilifanya miamala 93.8bilion sawa na miamala 375.2 bilioni kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutumia nguvu kazi ya Magereza zote nchini kuwapa kazi ya kukusanya taka na kutumia taka hizo kwa uzalishaji wa Biogas kwa ajili ya kupikia. Kusambaza Magereza zilizopo katika Sehemu Tofauti ili...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Naomba tujadili kidogo kuhusu suala la mwelekeo wa Serikali yetu kwa sasa juu ya kushughulika na kero za wananchi. Je, ni kweli Serikali ya chama Cha Mapinduzi wameshindwa kuongoza nchi? Je...
0 Reactions
10 Replies
740 Views
Natambua kuwa Rais Samia anataka kuvutia uwekezaji wa ndani na nje lakini hajagusa maeneo ya msingi ambayo yanaangaliwa na wawekezaji. 1) Nchi ambayo sheria za kodi zinabadilishwa kila mwaka...
4 Reactions
3 Replies
738 Views
Watanzania tumepoteza bahati kubwa sana maishani, Hayati Magufuli alikuwa zawadi kwa Watanzania. Kama ilivyofanya Marekani miezi mitatu iliyopita, Julai 19 ni zamu ya Uingereza kulegeza mashariti...
28 Reactions
127 Replies
8K Views
Ndugu Laurean Bwanakunu alikuwa ni DG wa Bohari ya Dawa - MSD tangu Julai/August, 2015 pamoja na kuwa ujio wake uliacha maswali mengi sana, nafikiri siri ya ujio wa Bwanakunu Bohari ya Dawa...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Tokea tunakua tukisikia Tanzania tuna rasilimali nyingi sana, lakin tokea inchi imepata uhuru hizo rasilimali zimeshindwa kuwa msaada kwa wananchi Mfano nchi za kiarabu Kuna rasilimali ya mafuta...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Watanzania tuwe macho na hawa watu mana tunawezakuangamia kama si kuharibu kizazi chetu kijacho. Watu hawa wana ushawishi mkubwa kwenye jamii, na kwa muonekano wao ukiwaangalia kwa haraka ni watu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Najiuliza kama sheria inasema hivi, inakuwaje viraka vingine huwa vinaachwa kwa muda mrefu mpaka vinageuka kuwa mashimo makubwa yasiyopitika.. Mfano mzuri barabara ya Keko ============= Naibu...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…