K Kwetuntwara JF-Expert Member Joined Jun 13, 2020 Posts 227 Reaction score 151 Jul 20, 2021 #1 Mwigulu Nchemba kasema asiyetaka tozo ya miamala ahamie Burundi. Ni kwanini asiseme kuhamia nchi nyingine. Burundi kunani?
Mwigulu Nchemba kasema asiyetaka tozo ya miamala ahamie Burundi. Ni kwanini asiseme kuhamia nchi nyingine. Burundi kunani?