Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bony Mwaitege ni mwombaji wa nyimbo za injili lakini ni rafiki wa karibu sana wa Mwigulu Nchemba. Katika kipindi hiki Cha mawimbi makali yanayomwelemea Mwigulu kuna mzunguko wa wimbo unaosema...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanabodi, Wananchi hawashibi barabara, ndege, madaraja au hospitali. Wananchi wanahitaji chakula na pesa mwaka huu 2020. Hili chama changu cha CCM ndio tunapaswa kulihubiri kwenye kampeni...
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Wanabodi, Cov-Idiots hawa ni watu wasiotaka kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizotolewa na serikali kuhusu kujikinga au kuchukua tahadhari kuhusu Virusi vya corona. Taratibu zilizotolewa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
RC wa Mwanza jana katangaza kuwa kuanzia leo, mikusanyiko inayoruhusiwa jijini Mwanza ni ile inayouhusiana na ibada na misiba ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya korona. Assume yupo sahihi kuwa...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Iko mbegu ya udikteta imeshapandwa. Mbegu hii imeota na kumea kisha imekita mizizi. Haitakuwa rahisi kuing'oa mbegu hii. Historia ya dunia inayoonesha kuwa udikteta hung'oka kwa gharama kubwa...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Anaongea Bishop Mpemba. Kodi nyingi tunazo kusanya zinaishia kuwalipa mishahara first class citizen! Wabunge 400, DC 120, RC 30+ , Wakurugenzi na MaDAC . Tunaitaji kuwa na watu wachache kwenye...
28 Reactions
63 Replies
5K Views
YA MUHIMU zaidi ya mauza uza ya Rais aliyeenda Mirembe, kwenye mazungumzo yake Anthony Diallo alisema: Katika nchi zetu za Kiafrika Li Katiba linaweza likawekwa pembeni na watu wakaemdelea na ya...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
MIKATABA YA LUGHA ZA KIGENI KWA WANANCHI YAMKERA NAIBU WAZIRI Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amesikitishwa na tabia ya baadhi ya watendaji wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
CCM wafanye yote wanayofanya ikiwemo kutumia propaganda na dola kubaki madarakani, ila waeleze tatizo la ajira na ugumu wa maisha pamoja na Katiba hii mbovu tulionayo, ndio vitu vitavyokuja...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Mwaka 1961, taifa letu pendwa la Tanganyika lilipata uhuru kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza na kuamua kuanza safari yake ya kujitegemea katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii na hata kisiasa...
1 Reactions
1 Replies
856 Views
Kama habari hizi zinazotufikia ni kweli kuwa haya ndiyo yaliyojiri Mwanza: basi mnakoipeleka hii nchi siko. Kwa vile ni kinyume cha katiba na sheria zote ndani ya nchi hii, itoshe kuwataka...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Hiki kindumbwendubwe cha mpesa kimeonyesha uwezo mdogo wa waziri wetu wa fedha. Kiukweli huyu kakayangu kapwaya kwenye viatu kwa Dr Mpango. Nilitamani Mpango arudi lakini kwa nafasi aliyonayo...
4 Reactions
86 Replies
10K Views
Katika maisha yetu ya kila siku, binadamu tumekuwa tukipendelea zaidi vitu au mambo ambayo kwetu ni mazuri na yanayotupa sifa nzuri mbele ya wenzetu. Na mara nyingi inapotokea kila zuri...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro Said Mtanda Julai 19.2021 amezitaka mamlaka za usafirishaji kuzuia magari kuondoka stendi ikiwa abiria wake hawaja vaa barakoa kujikinga na virusi vya...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"! Ukumbuke Chadema...
21 Reactions
114 Replies
8K Views
Nimesikia Mwanza viongozi wa chadema wakiongozwa na freeman Mbowe wamekamatwa saa nane za usiku na jeshi la police, Ukweli ni kwamba jeshi la police na serikali wanashindwa kujua kwa kufanya vile...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa yaliyotokea Africa Kusini wananchi kutoka barabarani na kuzua vurugu kubwa dhidi ya uamuzi wa kisheria na kikatiba wa kumuweka ndani Rais Mstaafu, ni dhahiri kwamba bado hatujakomaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hawa jamaa wanalia lia wakati walisema "watamnyoa" hebu wamnyoe tuone,mbona wanalia akiwaonyesha kuwa yeye ndiye mwenye mkasi, hizo ni salaam tu. Mlionyeshwa maua mkatoa upanga, ubabe na matusi...
22 Reactions
99 Replies
6K Views
Huwaga nashindwa kuelewa. Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanawahudumia wanyonge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa. Mbaya zaidi akikosea...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…