Wadau Habari!!
Leo tulikuwa na kikao cha Maafisa Elimu Kata na Walimu wakuu kujadili Mambo mbalimbali ya kuboresha taaluma wilayani kwetu
Mwenyekiti wa CWT wilaya alipopewa nafasi ya kuongea...
Ni vema pia tukafahamu kwamba Wakati wa Bunge la Katiba , Mh Rais Samia ndiye aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge lile huku Mwenyekiti wa bunge akiwa Samuel Sitta .
Nimeanza na hili ili...
Hadi Sasa hakuna kiongozi wa chama Cha upinzani aliyejitokeza kupongeza au kukemea kilichofanywa na Jeshi la Polisi dhidi Mhe. Freeman Mbowe, ukimya huu unatoa tafsiri zifuatazo kwa mtizamo wangu...
"Moyo wangu wamtukuza Bwana na Roho yangu inafurahia Mungu Mkombazi wangu. Maana umewashusha wenye enzi katika viti, ukawakweza wanyenyekevu"
Nimeanza na nukuu hiyo ya Biblia, ambayo ilikuwa ni...
Mchezo wa siasa ni hesabu. Nimewaza tu, mwisho wa mwezi huu kuna kikao cha Baraza kuu la Chadema. Ambapo moja ya ajenda yake ni issue ya Kina Halima Mdee. Je, hatua hizi za Dola zinalenga kuvuruga...
Taarifa ya sasa duniani na hasa baada ya ccm kurudia makosa yale yale ya miaka yote , ya kukubali kushindwa hoja na kuamua kulitumia Jeshi la polisi kudhibiti Chadema badala ya viongozi wake wa...
Ikumbukwe kabla na baada ya Uhuru Vatican ndio imesmama na Tanu na baadaye CCM
Vilikuwepo vyama vingi kabla ya uhuru vilivyopigania utawala wa kisiasa lakini Vatican ilichagua Tanu na ccm...
Latra imeagiza kuanzia sasa abiria wote wanatakiwa kuvaa barakoa wawapo kwenye vituo na ndani ya mabasi.
Kadhalika vituo vya mabasi binatakiwa kuwa na maji tiririka na sa tixer.
Ijumaa kareem!
Wanaopika vitumbua wako busy, machinga wapo busy, manesi na walimu wanajadili dakika moja na kuchapa shughuli zao.
Waliotiwa nguvuni wanajinasibu kuwa ni wapigania haki na wakombozi wa taifa hili...
Kwa kweli wananchi wa Tanzania hasa wafanyakazi wa serikali wamesota sana kwa miaka 6 iliyopita. Kuiishi miaka yote hiyo bila kuongezewa mshahara wakati ghalama za maisha zikiendelea kupanda kwa...
Wabunge wetu wa TZ wamejadili na kujinasibu niya yao ya kuinua mapato ya Taifa kupitia kodi. Hali inayojionesha kwa miaka mingi, ni tabia yao ya kutozungumzia ulipajhi wao wa kodi, usioendana na...
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania akila kiapo cha kuilinda katiba ya Tanzania
Hapo awali nimefupisha hotuba ya Mbowe kama ilivyotolewa kwa waandishi wa habari pale Mwanza jana.
Sasa niko...
"DC UMETUHESHIMISHA"MWENYEKITI WA WENYEVITI WA MITAA TEMEKE.
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo amefanya kikao na wenyeviti wa mitaa 142 inayounda wilaya ya Temeke, Kikao hicho...
Kwa akili ya kawaida, mwanachama wa CHADEMA akiuawa, moja kwa moja, siasa ndio itakuwa chanzo cha mauti hayo, na kila mtu akasema CCM imehusika kumuua, kumbe jamaa alikuwa anatembea na mke wa mtu...
TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI.
TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA
Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam.
Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano...
Nilikuwa namsikiliza anayejiita Dr (Phd) Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mipango akihojiwa na ITV kipindi cha Kipima Joto.
Nilichosikitika sana...
Nasikia Alipata First Class ya Degree yake...
Nelson Mandela aliitwa GAIDI na makaburu weupe wa Afrika ya Kusini na kufungwa jela kwa miaka 27. Baadaye gaidi akawa rais wa nchi... naye alikiri kwa kusema, In my Country , we go to prison...
Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema kutokana na kuwepo kwa wimbi la tatu la ugonjwa wa corona amesitisha shughuli zote za misongamano isiyo ya lazima kuanzia leo Julai23, 2021...
Lissu ni Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, asipokuwepo Mwenyekiti basi yeye anachukua mamlaka.
Nimeshtushwa na kauli ya Lissu kuzuia wanachadema wasimuwekee dhamana Mbowe, je anataka Mbowe aozee jela...