Mandela aliitwa gaidi na makaburu weupe, na sisi tunapita njia hii mbele ya makaburu weusi

Richard Robert

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
632
340
1627036312612.png

Nelson Mandela aliitwa GAIDI na makaburu weupe wa Afrika ya Kusini na kufungwa jela kwa miaka 27. Baadaye gaidi akawa rais wa nchi... naye alikiri kwa kusema, In my Country , we go to prison first, and then we become President!...

Nelson Mandela (1918–2013) was a South African black nationalist who spent 27 years in prison for fighting against the country’s discriminatory apartheid system of racial segregation. His negotiations in the early 1990s with South African Pres. F.W. de Klerk helped bring an end to apartheid and ushered in a peaceful transition to majority rule. Mandela served as president (1994–99) of the country’s first multiethnic government. Here are some of his best quotes.
  • “Real leaders must be ready to sacrifice all for the freedom of their people.”
  • “I learned that courage was not the absence of fear, but the triumph over it. The brave man is not he who does not feel afraid, but he who conquers that fear.”
  • “It always seems impossible until it's done.”
  • “There is no easy walk to freedom anywhere, and many of us will have to pass through the valley of the shadow of death again and again before we reach the mountaintop of our desires.”
  • In my country we go to prison first and then become President.
Mandela alikuwa GAIDI wa AFRIKA KUSINI. Hapa nyumbani sasa tunaambiwa tuna magaidi wengi. Mashehe wa uamsho walipopigania haki ya Wazanzibari wakapata kofia mpya ya UGAIDI... Na sasa "magaidi" wanaorodheshwa Mwanza na mikoa mingine inafuata.

Mbowe kakamatwa kigaidi kwa staili ya kutekwa na watu wasiojulikana!... Aliyetekwa Mwanza usiku wa manane na watu wasiojulikana akapatikana mikononi mwa "Wanaojulikana" akiwa ni MTUHUMIWA WA UGAIDI.. ilihali waliomteka Mwanza na kumsafirisha kwenda Dar Kigaidi hawaitwi magaidi, pamoja na kufanya uhalifu hotelini.. Hawakuishia hapo, wametuambia huyu aliyetekwa, NI GAIDI kwa kuwa anaua viongozi.

Ni ugaidi gani alioufanya Mbowe Mwanza mpaka akamatwe usiku wa Manane? Ni wazi kabisa, Ugaidi wa Dar usingeweza kumfanya asubiriwe mpaka aende Mwanza. Je, Mbowe kaua viongozi au anataka kuua viongozi? Jibu ni hapana! Wafao sasa na mwaka jana waliowengi ni korona. Zaidi ya yote wanajilinda sana kuliko watawala wote Africa. Lakini KORONA INAWADOKOA KATIKATI YA MABUNDUKI na kuwapa FURSA WANAYOILILIA KWENDA KUONGOZA MALAIKA.

Hivyo basi kama kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni ugaidi basi asilia zaidi ya 70 ya watanzania ni magaidi. Na kama wanaua basi katiba ikidaiwa viongozi wa SIRI KALI wanakufa kwa pressure na Korona. Magaidi wanaofanya ugaidi wa kidola wao wanatumwa kwa kodi zetu na kutuumiza.

1627037955759.png
1627038023868.png

Hawa ni watuhumiwa wa ugaidi wa kudai katiba mpya na tume huru. Moto wameuwasha hautazimika mpaka magaidi halisi wajitokeze na kuacha nchi ikiwa salama.
 
S. A
View attachment 1864513

Nelson Mandela aliitwa GAIDI na makaburu weupe wa Afrika ya Kusini na kufungwa jela kwa miaka 27. Baadaye gaidi akawa rais wa nchi... naye alikiri kwa kusema, In my Country , we go to prison first, and then we become President!...

Nelson Mandela (1918–2013) was a South African black nationalist who spent 27 years in prison for fighting against the country’s discriminatory apartheid system of racial segregation. His negotiations in the early 1990s with South African Pres. F.W. de Klerk helped bring an end to apartheid and ushered in a peaceful transition to majority rule. Mandela served as president (1994–99) of the country’s first multiethnic government. Here are some of his best quotes.
  • “Real leaders must be ready to sacrifice all for the freedom of their people.”
  • “I learned that courage was not the absence of fear, but the triumph over it. The brave man is not he who does not feel afraid, but he who conquers that fear.”
  • “It always seems impossible until it's done.”
  • “There is no easy walk to freedom anywhere, and many of us will have to pass through the valley of the shadow of death again and again before we reach the mountaintop of our desires.”
  • In my country we go to prison first and then become President.
Mandela alikuwa GAIDI wa AFRIKA KUSINI... Hapa nyumbani sasa tunaambiwa tuna magaidi wengi. Mashehe wa uamsho walipopigania haki ya Wazanzibari wakapata kofia mpya ya UGAIDI... Na sasa "magaidi" wanaorodheshwa Mwanza na mikoa mingine inafuata.

Mbowe kakamatwa kigaidi kwa staili ya kutekwa na watu wasiojulikana!... Aliyetekwa Mwanza usiku wa manane na watu wasiojulikana akapatikana mikononi mwa "Wanaojulikana" akiwa ni MTUHUMIWA WA UGAIDI.. ilihali waliomteka Mwanza na kumsafirisha kwenda Dar Kigaidi hawaitwi magaidi, pamoja na kufanya uhalifu hotelini.. Hawakuishia hapo, wametuambia huyu aliyetekwa, NI GAIDI kwa kuwa anaua viongozi.

Ni ugaidi gani alioufanya Mbowe Mwanza mpaka akamatwe usiku wa Manane? Ni wazi kabisa, Ugaidi wa Dar usingeweza kumfanya asubiriwe mpaka aende Mwanza. Je, Mbowe kaua viongozi au anataka kuua viongozi? Jibu ni hapana! Wafao sasa na mwaka jana waliowengi ni korona. Zaidi ya yote wanajilinda sana kuliko watawala wote Africa. Lakini KORONA INAWADOKOA KATIKATI YA MABUNDUKI na kuwapa FURSA WANAYOILILIA KWENDA KUONGOZA MALAIKA.

Hivyo basi kama kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni ugaidi basi asilia zaidi ya 70 ya watanzania ni magaidi. Na kama wanaua basi katiba ikidaiwa viongozi wa SIRI KALI wanakufa kwa pressure na Korona. Magaidi wanaofanya ugaidi wa kidola wao wanatumwa kwa kodi zetu na kutuumiza.

View attachment 1864529View attachment 1864531

Hawa ni watuhumiwa wa ugaidi wa kudai katiba mpya na tume huru. Moto wameuwasha hautazimika mpaka magaidi halisi wajitokeze na kuacha nchi ikiwa salama.

SA ilikuwa hivi hivi basi tusishangae yakijitokeza yale yale na mbinu zilezile walizotumia watu wa bondeni...mungu atuepushe
 
Back
Top Bottom