Kuna kila dalili Vatican kuikimbia CCM na kuunga mkono vyama mbadala

utah jazz

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,817
3,978
Ikumbukwe kabla na baada ya Uhuru Vatican ndio imesmama na Tanu na baadaye CCM
Vilikuwepo vyama vingi kabla ya uhuru vilivyopigania utawala wa kisiasa lakini Vatican ilichagua Tanu na ccm kwasababu zake sisi hatuzijui

Hawa Vatican hadi serkali ya china inawapigia magoti

Chama changu,chama cha Baba wa taifa hayati nyerere tusisahau sana tusije tukawa kama sudan, libya au DRC

Vatican ipo white house,ipo ikulu ya putin ipo hadi saud arabia

Tunamwomba aliyepewa urais kwa sababu ya msiba wa hayati,aongoze nchi kwa uwezo wake na sio kutegemea kila kitu kutoka msogani

Pia akumbuke Tanganyika haijawahi kutoweka ipo imara ,watanganyika wakiitaka Tanganyika yao haitachukua hata mwaka

Kuhusu bandari ya bwagamoyo wacha tutulie kwanza
 
You got it wrong sehemu moja,it's the other way around,Vatican ndo inainyenyekea China,look it up!
 
Back
Top Bottom