Rais Samia anawatakia Sikuu njema ya Eid El Adha

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh .Samia Suluhu Hassan anawatakia sikuu njema ya Eid El adhah watanzania wote .

Mh rais ametutaka tusheherekee kwa amani pia kule mwanza amatupatia zawadi tamu Sana

USSR
IMG-20210721-WA0008.jpg
 
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh .Samia Suluhu Hassan anawatakia sikuu njema ya Eid El adhah watanzania wote .

Mh rais ametutaka tusheherekee kwa amani pia kule mwanza amatupatia zawadi tamu Sana

USSRView attachment 1861877
Walikupuliwa usiku wa manane hotelini mwanza je?
Ndio zawadi maana walisema watamnyoa Sasa wamempa kichwa anawanyoa ,hii zawadi nzuri Sana

USSR
2025 tutafanya yetu
 
Back
Top Bottom