Mimi ni Mdau wa CHADEMA niliyemuelewa Rais Samia

Mimi ni Mdau wa CHADEMA niliyemuelewa Rais Samia

pagalwema

Senior Member
Joined
Sep 17, 2018
Posts
103
Reaction score
139
Kuna tukio la tozo na lawama kwa rais wa jamuhuri ya Tanzania Samia Suluhu. Kiukweli asiraumiwe mama kuhusu tozo tunachotoa cha kwetu kwa ajiri ya maendeleo yetu.

Kama hakitufai basi tutumie njia zilizo sahihi kukipinga hasa tusivunje katiba tuliyonayo. Na makosa ya singida tusimjumurishie raisi sio mama wa singida binadamu na raisi wetu binadamu na binadamu anamapungufu yake. Lakini tushukuru tuna uwezo wa kung'amua na kusikilizwa na kujibiwa kisiasa ki kebehi sio mbaya hakuna anae pitia mabaya kwa sababu yake ya kukosoa.

Hivyo ndugu zangu Wanachadema wenzangu tuitumie fulsa hii kwa maendeleo ya taifa. Kila maamuzi yetu tunayopitisha yamguse Mtanzania Hivyo maamuzi ya vishawishi kwa maslah flani binafs hayatufai.

Ninavyojua Mimi lengo letu kuijenga tanzania si kuibomoa hivyo kuna ndg zetu wengine bado hawajajiaanda kuchanja korona hivyo tusiwarazimishe.

Watanzania wote ni ndg zetu bila hao hatutakuwa na watu wa kuwaongoza Chama ni watu.

Kila kitu ni watu ndio maana mzee mpili anasema ana watu

Pole kwa msomaji pia ahsante
 
Una mawazo mazuri lkn uandishi unapunguza hamu ya kuyasoma na kuelewa
 
Back
Top Bottom