Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan awaapisha Mabalozi 13, Ikulu Dar es Salaam
==========
Anaeongea kwa sasa ni waziri wa mambo ya nje, balozi Mulamula ambae anamshukuru...
Jeshi la Polisi hatimaye limemfikisha Mbowe mahakamani Kisutu "kisirisiri" likimtuhumu kwa Makosa ya jinai ya ugaidi.
Naliomba Jeshi hilo litujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe.
1...
Rais mstaafu wa awamu ya nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete ameonya tusipobadilika namna tunavyofundisha watoto wetu basi ajira zote zitatoweka ifikapo mwaka 2050.
My take.
Hii elimu yetu ya kuwafanya...
CHADEMA MUELEWE HAKUNA USHUJAA WA KUKAA MAHABUSU AU KUPOTEZA MAISHA.
Nawasalimu kwa jina la chama pendwa, CCM. Chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote ukiwemo unayesoma hapa.
Leo kwa...
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad amesema kuna haja ya kuanza na safu mpya ya viongozi serikalini, kwa kile alichokidai kuwa waliopo...
Tusije kuweka matumaini makubwa kwenye chanjo halafu tukabakia tunaombea ifanye kazi tofauti na inavyofanya kazi kwenye nchi nyingine. Hapa Marekani jana CDC imetutangazia kuwa hata sisi tuliopata...
Kwa Tanzania sioni faida yoyote ya kuwa na Mabalozi wengi nje sioni.
Wanaenda kufanya nini mbona uwa hawaleti tija?
Unakuwa balozi wa China unashindwa kwenda kuiba technologies mbali mbali na...
Mwita Waitara: Ukitaka kushindana na watu wa Mombasa, bandari ya Mombasa ni kubwa kwelikweli, unganisha zote hapa Tanzania hatuwafikii kwa ukubwa wa eneo hata mizigo inayotua pale.
Hata kama...
Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif.
Mh Mbowe ambaye...
Hii ni baada ya Wazee wa Tabora kumfananisha na Wapigania Uhuru wa enzi zile za kumng'oa Mkoloni , jambo hili lina maana kubwa sana kwa mwanasiasa yeyote.
Mbowe yuko Mkoani Tabora kama sehemu ya...
Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa...
Kama tulivyoahidi kuwa nanyi bega kwa bega katika kipindi hiki ambacho Chadema imekuja na mkakati mpya wa OPERESHENI HAKI , basi leo tena Tunaendelea kuwapa uhondo na taarifa mbali mbali za...
Nchi ina ikulu mbili zilizo fullu kinguvu, Hii ni gharama sana kwa nchi ambayo matundu ya vyoo ni shida.
Kwa sasa mfano Serikali nzima iko Dar, lakini Dodoma pia wana Offisi kwa sasa ziko zenyewe...
Huku ni kukosa busara na hekima. Kutaka kuaminisha watu kuwa Mbowe hawezi kuwa mhalifu ni kukosea.
Hili taifa lina vyombo ambavyo vinahusika na kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa.
Kwamba...
Investment kubwa hapa dunian nikuwekeza katika watu.
Chadema haitoweza kufutika hapa Tanzanian kama ilivyo CCM hivi vyama, vitamake headlines mpaka mwisho.
Just imagine hawako bungeni lakini...
Amesikika mheshimiwa SSH jana akiongelea tozo za miamala na bei za mbolea. Akijinasibu kuwa huko ndiko kusikia kwa serikali yake sikivu.
Ikumbukwe kuwa za moto zaidi kwenye ajenda zimekuwa:
1...
Hebu angalia alichosema msomi huyu kuhusu Chanjo ya Corona katika Awamu ya Magufuli na Awamu ya SAMIA.
Herufi A wakati wa MAGUFULI
Herufi B wakati wa SAMIA
Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii
1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu...