Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,849
32,207
Wanaukumbi,

Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?

Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.

Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?

Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.

Nakushauri Mbowe, zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna Mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
 
Katiba hii ina mapungufu.

Katiba mpya ni muhimu sana haswa pale kunapokuwa na wananchi wenye guts za kumwajibisha yeyote anayeivunja.

Kama katiba ya sasa ikivunjwa hatuna wananchi wenye guts za kumwajibisha anayeivunja kuna uwezekano tatizo la msingi lisiwe ni katiba.
 
Mbowe na genge lake ni lazima WAJIFUNZE kwa waliyopitia.

Mh.Rais Samia ni mtu mpole ,mkarimu ,mvumilivu na asiyependa "tug of war"..

Hawa akina MBOWE watamchokoa tu Amiri Jeshi.....na wakifanya hayo mjue sisi tunaoheshimu mamlaka HATOWALILIA.

#KaziIendelee
 
Katiba hii ina mapungufu.

Katiba mpya ni muhimu sana haswa pale kunapokuwa na wananchi wenye guts za kumwajibisha yeyote anayeivunja.

Kama katiba ya sasa ikivunjwa hatuna wananchi wenye guts za kumwajibisha anayeivunja kuna uwezekano tatizo la msingi lisiwe ni katiba.
Sawa hilo lipo wazi Rais juzi kasemaje?
 
Back
Top Bottom