Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wafuasi wa Kibwetere wamegawanyika makundi mawili, wapo wanaotaka kujifanya wanathamini afya zao na kwamba Kibwetere ailiwapotosha au walijua kabisa kwamba Kibwetere anawapotosha lakini kwakuwa...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Kabla hata Zungu hajapendekeza Bungeni kodi kwenye miamala ya simu, mimi nilileta wazo kupitia hapa JamiiForums nikipendekeza tozo kupitia line za simu zitumike kuunda Mfuko wa Bima ya Afya kwa...
3 Reactions
1 Replies
941 Views
Nchi zetu changa zinapelekeshwa kila siku na ubeberu. Ukiwepo mpango wowote wenye maslahi kiuchumi kwa umma ila unakinzana na maslahi ya ubeberu au vikaragosi vyao unakwama. Ni vigumu mtu kuamini...
6 Reactions
61 Replies
7K Views
Wanakumbi. CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi. Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka...
11 Reactions
63 Replies
5K Views
Mifumo ni watu. Taasisi ni watu. Na vyote hivyo ni kwa ajili ya watu. Hakuna mfumo uliojiumba wenyewe tu na unaojiendesha wenyewe. Hakuna taasisi iliyojitengeneza yenyewe. Hakuna taasisi...
30 Reactions
84 Replies
5K Views
Habari za jioni wanaJF! Mimi ni muumini wa kumsikiliza kiongozi katika mapambano yoyote. Upo muda wa taharuki,kutoaminiana, kuchallange, kujadili na hatimaye kuchukua upande na uelekeo. Mwaka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Taarifa tulizozipata kutoka kwa Mdaku kutoka Ufipa ni kuwa shughuli zote za uratibu wa chama zimesimama kutokana na kesi inayo, kabili Mwenyekiti huyu wa maisha na mwenye hisia za umiliki wa chama...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Raisi Samia anafanya makosa ambayo Hayati Magufuli na wapambe wake walifanya. Magufuli alifanya vitu vingine ambavyo havikuwa na tija kwa taifa. 1. Kubishana na Lissu kuhusu yeye kupigwa risasi...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
UZINDUZI WA REPORT YA HAKI ZA BINADAMU NA BIASHARA 2020/2021 Legal and Human Rights Centre (LHRC) on 29th July, 2021, launched the Tanzania Human Rights and Business Report that provides the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huo utata lazima umalizwe sasa. ACT Wazalendo na Chadema ni kipi ndicho sahihi na kwa sababu gani kiwe chama kikuu cha upinzani? Naomba wajuzi wa hayo mambo mtujuze.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tanzania tunaijua na Watanzania Tunawajua. Urais tunaujua na sifa za kugombea Urais tunazijua. Rais Bora tunamjua na sifa za Rais Bora tunazijua. Je, kwa Aina ya utawala tulionao na kwa nia ya...
2 Reactions
99 Replies
13K Views
Source: Wizara ya Mambo ya Ndani na TBC Waziri wa Mambo ya ndani Mheshimiwa Simbachawene amemshauri Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA kujiuzulu kwa kushindwa kuzalisha...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mwanza. Baadhi ya viongozi wa Chadema waliokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusiana na kongamano la Katiba Mpya lililozuiwa, wamesimulia jinsi walivyokamatwa usiku wa kuamkia Julai 21...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shahidi wa Sita Bakari Msangi (38) amemtambua kwa kumgusa bega la kushoto mahakamani mshtakiwa namba tatu, Daniel Mbura kuwa ndiye baunsa aliyekuwa akimpiga kipigo kikali katika duka la Shaahid...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo Tarehe 29 Julai, 2021 Benki ya Dunia inazindua Toleo la 16 la Ripoti ya Hali ya Kiuchumi ya Tanzania, yaani "16th Tanzania Economic Update" Toleo la Hali ya Kiuchumi Tanzania huchapishwa...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Mimi ni mdau ambaye naunga mkono sana mabadiliko ya Katiba lakini mpangilio wa sasa ambao unaongozwa na CHADEMA sijaupenda na hautasaidia mafanikio haya kwasababu zifuatazo 1. Rais mpya Samia...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Katiba ni kipaumbele kweli lakini bado wananchi hawajashirikishwa vya kutosha. Wakishirikishwa vya kutosha nguvu itakuwa kubwa mno ktk kudai katiba,, watawala wataogopa tu.
8 Reactions
52 Replies
4K Views
Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kutumia kiasi cha shilingi Bilioni 1,015,000,000 kufikisha huduma ya mawasiliano katika Wilaya ya Mbogwe iliyopo Mkoani Geita...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Mzee Kikwete alitulea kwa kutudekeza sana. Tukawa na uhuru uliopitiliza na kutufanya tuseme mambo yatokanayo na "ulevi wa uhuru". Tukamwomba Mungu "atupatie dikteta mzalendo". Akatujibu kwa...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mtwara, Nasibu Kanduru amesema kuwa matamshi ya Tundu Lissu akiwa nje ya Nchi yanaonyesha wazi Viongozi wa CHADEMA hawajui kutofautisha kati ya Uhuru wa Mahakama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…