ACT-Wazalendo na NCCR-Mageuzi walaani vikali kukamatwa kwa Freeman Mbowe

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe wamelaani kukamatwa kwa Freeman Mbowe na wenzake na kulitaka Jeshi la Polisi kuwaachia bila masharti yoyote.

E6-M7hwX0AA6dzt.jpg
 
View attachment 1864532
inaonekana hawa viongozi hawajitambui au wamejitoa ufahamu!
hawajui huyo Mbowe anakabiliwa na shitaka la Ugaidi? halafu wanalishinikiza jeshi la polisi kuwa wamwachie huru!! kwani ametekwa?! halafu wao wanapata ujasiri wapi wa kuingilia vyombo vya dola pale vinapo tekeleza wajibu wao? mbona alipo kamatwa sabaya alilipongeza jeshi la polisi kwa kuchukua hatu? Huyu jama ndio wanafiki wenyewe hawa, ndumila kuwili.
Sheria ni msumeno leo sabaya kesho Mbowe n.k.
 
Ni muda muafaka vyama vya upinzani vikajitafakari upya ili viunganishe nguvu kupigania katiba mpya itakayoleta uhuru, usawa na haki kwa kila mmoja wetu.
Labda viundwe vyama vipya vya siasa vya upinzani na wapinzani wa kweli siyo hawa wachumia tumbo akina Mbowe, Mbatia, Zitto, Mrema, Cheyo n.k ambayo wamegeuza vyama kuwa mali zao binafsi hawataki kupisha wenye mawazo mapya kuongoza vyama hivyo. Halafu kila siku wanaimba hakuna demokrasia nchini wakati wao ndani ya vyao vyao vya siasa wamegeuka kuwa wafalme a.k.a TEAM MUGABE 😀 😀 😀 😀
 
inaonekana hawa viongozi hawajitambui au wamejitoa ufahamu!
hawajui huyo Mbowe anakabiliwa na shitaka la Ugaidi? halafu wanalishinikiza jeshi la polisi kuwa wamwachie huru!! kwani ametekwa?! halafu wao wanapata ujasiri wapi wa kuingilia vyombo vya dola pale vinapo tekeleza wajibu wao? mbona alipo kamatwa sabaya alilipongeza jeshi la polisi kwa kuchukua hatu? Huyu jama ndio wanafiki wenyewe hawa, ndumila kuwili.
Sheria ni msumeno leo sabaya kesho Mbowe n.k.
Wacha upuuzi, inajulikana wazi vyombo vya dola nchi hii vinatumiwa na CCM kwa maslahi yake, hiyo tabia mnayo toka enzi wakati huo ukiwa unanyonya, Mbowe kudai haki yao kisheria kuandaa kongamano mkaona dawa ni kumkamata na kumfungilia mashtaka ya uongo ili muwaondoe kwenye lengo lao, kwenye hili mtafeli kama mlivyofeli siku za nyuma.
 
Hakuna cha SHERIA ni UTEKAJI NA UBAMBIKIWAJI WA KESI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ndicho walichobakiza hao, watuambie wamekutanaje mpaka kufikia kuandika pamoja au wamepelekewa deal au kushawishiwa na pro cdm?
 
Mipango ya kumuangamiza Mbowe na kuua CHADEMA ilishapangwa na Mwendawazimu kabla ya kifo chake.
Samia na GENGE lake wanatekeleza tu legacy, baada ya kuona CCM haiwezi tena kusimama kwenye uwanja sawa wa siasa.

Hao madalali wawili wanaandaliwa kuwa ”vyama vikuu vya kinafiki vya Upinzani”
Ili MABEBERU watoe pesa. Kama sio Mabeberu kukomalia demokrasia ndio wakupe hela yao, CCM wangeshafuta hii sheria ya siasa nchini.

Nchi imeshaharibiwa hii na MaCCM kwa ULAFI naUFISADI wa pesa za Mabeberu.
 
inaonekana hawa viongozi hawajitambui au wamejitoa ufahamu!
hawajui huyo Mbowe anakabiliwa na shitaka la Ugaidi? halafu wanalishinikiza jeshi la polisi kuwa wamwachie huru!! kwani ametekwa?! halafu wao wanapata ujasiri wapi wa kuingilia vyombo vya dola pale vinapo tekeleza wajibu wao? mbona alipo kamatwa sabaya alilipongeza jeshi la polisi kwa kuchukua hatu? Huyu jama ndio wanafiki wenyewe hawa, ndumila kuwili.
Sheria ni msumeno leo sabaya kesho Mbowe n.k.
Wewe wasema!
 
WACHA ujuha wako.

Hizo ndio hoja zenu mnazoweza kuzijibu pimbi nyie nlomwaaa.
 
Wacha upuuzi, inajulikana wazi vyombo vya dola nchi hii vinatumiwa na CCM kwa maslahi yake, hiyo tabia mnayo toka enzi wakati huo ukiwa unanyonya, Mbowe kudai haki yao kisheria kuandaa kongamano mkaona dawa ni kumkamata na kumfungilia mashtaka ya uongo ili muwaondoe kwenye lengo lao, kwenye hili mtafeli kama mlivyofeli siku za nyuma.
Mwamba
Hanatabia ya kujikwezesha marazote ndo kinamkost

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
inaonekana hawa viongozi hawajitambui au wamejitoa ufahamu!
hawajui huyo Mbowe anakabiliwa na shitaka la Ugaidi? halafu wanalishinikiza jeshi la polisi kuwa wamwachie huru!! kwani ametekwa?! halafu wao wanapata ujasiri wapi wa kuingilia vyombo vya dola pale vinapo tekeleza wajibu wao? mbona alipo kamatwa sabaya alilipongeza jeshi la polisi kwa kuchukua hatu? Huyu jama ndio wanafiki wenyewe hawa, ndumila kuwili.
Sheria ni msumeno leo sabaya kesho Mbowe n.k.
Akili hamna hapa
 
Peleka ujinga wako milembe!! Kama mbowe kakamatwa kwa ugaidi, hao viongozi wengine mnaendelea kuwashikilia kwa sababu zipi??
 
inaonekana hawa viongozi hawajitambui au wamejitoa ufahamu!
hawajui huyo Mbowe anakabiliwa na shitaka la Ugaidi? halafu wanalishinikiza jeshi la polisi kuwa wamwachie huru!! kwani ametekwa?! halafu wao wanapata ujasiri wapi wa kuingilia vyombo vya dola pale vinapo tekeleza wajibu wao? mbona alipo kamatwa sabaya alilipongeza jeshi la polisi kwa kuchukua hatu? Huyu jama ndio wanafiki wenyewe hawa, ndumila kuwili.
Sheria ni msumeno leo sabaya kesho Mbowe n.k.
Crap
 
Back
Top Bottom