Richard Branson kanunua nchi gani na kwanini umewaza kununua nchi yote?Hivi nchi yote hii ni shilingi ngapi kuinunua?nitafute hela niwe kama Richard Branson
Amenunua visiwa ,asa mimi nataka ninunue nchi hii maana Sielewi kbsaRichard Branson kanunua nchi gani na kwanini umewaza kununua nchi yote?
Atajua yeye hatuna habari Kabisa na roho mbaya yake