Sijajua kwanini Wanasiasa maskini ndio wanamchukia sana Freeman Mbowe, hawa Wanaodadavua

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,003
2,000
Hizi siasa zitapita na maisha lazima yaendelee.

Ninapingana na Freeman kiitikadi lakini hilo halinifanyi nimuone adui bali mshindani katika siasa za kujenga.

Siyo kwamba nawalaumu Wakudadavuwa hapana, hawa siasa wameanza juzi lakini Freeman tumekuwa naye tangia Tanu Youth League.
Nakumbuka alivyokuwa akijenga hoja za kizalendo pale mwananyamala kwa hayati mzee Saidi Tanu wakiwepo pia John, Makongoro na baba yao mdogo Joseph Nyerere.

Kama umezaliwa juzi unaweza kuamini siasa ni uadui lakini kiukweli James Mbatia anaweza kuwa ni CCM damu kuliko January au Nape kwa sababu wengine ni wanaccm kwa " kurithi"

Mungu ni mwema Wakati Wote!
 
mweusi asili

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
1,168
2,000
Kama umezaliwa juzi unaweza kuamini siasa ni uadui lakini kiukweli James Mbatia anaweza kuwa ni CCM damu kuliko January au Nape kwa sababu wengine ni wanaccm kwa " kurithi"
Hii inaweza ukawa ni ujumbe wa mwaka kwa UVCCM wote maana kipindi hicho vijana wanaanza kupikwa kuanzia chipukizi mpaka wanakuja wanaiva ikitakiwa kuteuliwa nafasi za uongozi wanapita kivukoni au IDM wanaiva sasa siku izi vijana kwenye siasa wameona ni fursa wanachojua ni kutukana hawajui kupangua hoja kwa hoja
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,234
2,000
Mdude alipoachiwa mahakama ndio ilipongezwa na kuonekana mama hakuhusika na kuachiwa kwake (hapa sina tatizo) Mbowe alipokamatwa mama ndio kaonekana kuhusika na kukamatwa kwake na sio polisi waliomkamata (hapa kuna tatizo)
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
16,466

Polisi wanapokea order kutoka kwa rais.

Hakimu hapokei order kutoka kwa mtu yoyote isipokuwa wapuuzi wachache wa ccm huwa wanafanya fanya huu ushenzi.

Ni watu wenye akili ndogo tu kama wewe ndiyo wanaweza kuleta hoja kama hii.
 
Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
2,800
2,000
Polisi wanapokea order kutoka kwa rais.

Hakimu hapokei order kutoka kwa mtu yoyote isipokuwa wapuuzi wachache wa ccm huwa wanafanya fanya huu ushenzi.

Ni watu wenye akili ndogo tu kama wewe ndiyo wanaweza kuleta hoja kama hii.
Polisi wanapokea order kutoka kwa Rais??!! Hiyo kichwa yako ipo sawa?
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,115
2,000
Hizi siasa zitapita na maisha lazima yaendelee.

Ninapingana na Freeman kiitikadi lakini hilo halinifanyi nimuone adui bali mshindani katika siasa za kujenga...
Mbowe mwenyewe mbona ni maskini tu tangu aache kuuza ngada pale bilcanas.
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,234
2,000
Polisi wanapokea order kutoka kwa rais.

Hakimu hapokei order kutoka kwa mtu yoyote isipokuwa wapuuzi wachache wa ccm huwa wanafanya fanya huu ushenzi.

Ni watu wenye akili ndogo tu kama wewe ndiyo wanaweza kuleta hoja kama hii.
Wengine vichwa vyetu vimejaa akili, ww cha kwako kimejaa kamasi. Aliekwambia kuwa polisi anapokea order ya kumkamata muhalifu kutoka kwa raisi ni nani? Inamaana mtu akiiba kuku wako na ukaenda kushitaki polisi watangoja order kutoka ikulu ili wakamkamate mwizi wako? Ndio maana kila siku nasema kuwa nyinyi akili zenu anatembeaga nazo mwenyekiti wenu mfukoni kwake. Shame on you!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom