Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amesema Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli, alikuwa kiongozi mzalendo aliyejengwa katika misingi ya...
Matatizo yote makubwa ya kisiasa tuliyonayo leo yalianzia hapa.
Bunge la machawa tulilonalo leo lilianzia hapa. Bunge kukosa upinzani ilianzia hapa. Utekaji na uuaji wa wapinzani ulianzia hapa...
Mwisho wa siku Serikali inafanya maamuzi kwa niaba ya wananchi, wananchi wakipiga kelele wanapaswa kusikilizwa, kwenye kuwasikiliza inasaidia kule ndani mnapokuwa mnachakata kusikiliza hivi...
George Bizos alikuwa wakili muhimu wa Nelson Mandela na wenzie waliokuwa wanashtakiwa pamoja naye wakati wa Kesi ya Rivonia 1963-74. Anakumbukwa kwa kumshauri Mandela kuongeza neno "ikiwa ni...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kilifungua kesi mahakamani kupinga amri ya Mkuu wa Polisi (IGP) ya kuzuia watu kutoka nje (curfew) wakati wa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025. Lakini...
Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka skendo za kina Epstein na Diddy.
Watu hawa wamehusishwa na skendo za kuwaunganisha wanasiasa na matajiri na shughuli za anasa, bata na mazaga mengine ya...
Wanabodi,
Angalizo. Neno dikiteta sio neno baya kama lengo la matumizi yake ni lengo jema. Tukisema Rais Magufuli ni dikiteta, hatumaanishi ni dikiteta katili kama Hitler, Musolini, au Iddi...
Bila aibu anasimama kiongozi mnafiki ambae anajua fika misingi na falsafa aliyoisimamia hayati Magufuli shujaa wa Afrika haifuatwi.
Eti Magufuli bado yupo mioyoni mwa Watanzania?
How ? Kwa...
Wanabodi,
Tanzania ni nchi inayofuata Katiba na kuendeshwa kwa utawala wa sheria, hivyo itaongozwa kwa mujibu wa Katiba, sheria taratibu na kanuni!, no one is above the law!. Katika kufuata...
Wanabodi,
Hii ni barua wito kwa Baba Jesca, ili awatendee haki kina Jesca wengine wote wenye matokeo kama ya Jesca ili nao wapate bahati kama ya Jesca!.
Mpendwa Baba Jesca,
Salaam hapo ulipo...
Sidhani kama wengi demokrasia na mambo ya haki ni kipaumbele kwao. Inaonekana wengi wanachotaka ni maendeleo tu bila kujali yamepatikanaje au gharama yake. Lakini pia raia wengi wanapenda viongozi...
Wanabodi,
Huu ni wito tuu kwa wana jf kuhusu ukosoaji wa Rais wa nchi, Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ufanyike kwa staha kwa kutanguliza mbele uzalendo, na maslahi ya taifa mbele, ukiwemo...
Tumekuona baada ya miaka 5, tumekusikia nadhani UNADHANIA aliyekuhoji no dampa,
Tafakari chukua hatua NAKUHAKIKISHIA Iko siku utajibu ilo kwa kiufasaha
Hamjambo!
1. JPM binafsi nilipishana naye eneo moja tuu ambalo ni kuu. Lakini mambo mengine mengi hasa ya utekelezaji na usimamizi wa resources alikuwa sahihi.
2. Leo Siku ya kumbukizi ya kifo...
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Elsie Kanza, ametajwa miongoni mwa viongozi 100 wenye ushawishi barani Afrika, akiungana na majina makubwa kutoka kwenye siasa, biashara, michezo na...
Tunahitimisha zile nyuzi zetu za mwezi wa Mungu , Kwenye utawala wa awamu ya 5 , Bwana Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , alijipa cheo cha Kitengo cha kudhibiti Madawa ya...
Leo, tarehe 17 Machi 2026, nimemtembelea Tundu Lissu katika Gereza Kuu la Ukonga kwa ajili ya mazungumzo ya kisheria kuhusu mwenendo wa kesi yake.
Hata hivyo, mazungumzo kati yangu na yeye...
Mkataba unasema DP WORLD wataleta mitambo mipya, watahusika na matengenezo na marekebisho ya bandari ili iwe ya kisasa. Kwanini leo wameongeza gharama za ushuru ili wapate fedha ya kuboresha...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, baada ya kutupilia...