Rais Samia Suluhu amemteua Rogatus Hussein Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)
Mativila, aliyekuwa Mkurugenzi wa Barabara - Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi...
Katika haii ya kuonyesha kuwa CCM haiko serious, imetuletea wagombea magumashi, walaghai, wasaniiwasanii.
Mmoja wa wagombea feki, ni mzee wa kanyanga Gwajima. Huyu ana maskendo mengi kuanzia...
Hamna CCM imara kama upinzani ni dhaifu, Chadema fanyeni kujitahidi hili kuleta amsha amsha ndani ya nchi.
Kwa kifupi mtu akisema Chadema imepoteza dira anakuwa yuko sahihi sana. Ebu...
Askofu Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima amewataka wananchi kutoiogopa Corona kwa sababu haina lolote bali ni janjajanja ya yule mkuu wa ulimwengu.
Gwajima amesema wakati wa wimbi la kwanza...
Nimeona sehemu nyingi baadhi ya watu wakijadili kuhusu ''bwana yule'' huku wengine wakimbeza lakini wengine wakiuliza kimetokea nini kwa sasa ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu.
Kwa...
Gazeti la the citizen la leo limeriport kuwa nchi ya Tanzania imeipiku nchi ya Kenya kwa upelekaji wa bidhaa nchini Uganda kupitia bandari. Kabla ya hapo Kenya ilikuwa inaongoza kwenye nchi za...
Dah, nimekaa zangu hapa home nafurahia kalikizo kangu kafupi haka nikakumbuka watani zangu hawa kuwa waliwahi kuimba wimbo wa UJENZI WA CCM MPYA.
Mimi siasa chafu sizipendi sasa nawauliza jamaa...
Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewataka Watanzania wote kujitokeza na kuchanja ili kwa pamoja tuishinde na kuitokomeza Corona.
Lissu amesema leo hii 09/08/2021 amekamilisha chanjo...
Pia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia, ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto, Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti, Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi.
Chadema kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya
By Mgongo Kaitira
Mwanza. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na mbinu yao mpya ya kudai Katiba Mpya...
Kwa matukio ya hivi karibuni na dhahiri kuna wanaotaka kum upstage mama Samia.
Wito wangu ni mmoja tu, mama usicheke na nyani, utakula mabua.
Na wahenga walisema kikulacho ki nguoni mwako...
PEMBA ZANZIBAR
Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi
Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde.
Alisema moja ya changamoto...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi.
KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED
1. Ensuring the...
Na Thadei Ole Mushi.
Tumekuwa tukiona Mara kwa Mara Prof Lumumba wa Kenya akimsifia Sana Rais Magufuli. Watu wengi hujiuliza kanunuliwa? Au ana interest gani na Rais Magufuli au na Tanzania? Leo...
Rais Samia Suluhu huu si wakati wa kukaa kimya, hutubia taifa ili nchi na watu wake wapate mwanga mpya, kuna mambo mengi yanachanganya wananchi, mfano
Suala tozo
Chanjo
Democracy
Ugaidi
Kuna...
Naona imekua too much sasa hivi kila jumapili Rashidi, anatumia lile Godauni la ufufuo na uzima kupingana na serikali, naona mpaka sasa yeye ndiye mshindi maana imeonyesha dhahiri serikali...
Msingi wa uzi huu ni kuwakumbusha CCM kuwa pamoja na Rais kutokea chama chao cha CCM, but once akishakuwa Rais anakuwa mali ya wananchi mali ya Watanzania wote, chama kinabaki kuwa kama mshauri tu...
Tumeona Viongozi mbalimbali wakitumia hiari yao kuhamasisha watu wakachanjwe na wengine wamekua sehemu ya kuchanjwa kama kuonesha mfano.
Polepole Naye yupo na msimamo wake wa kutochanjwa na...
Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi...