Tanzania yaipa kichapo tena Kenya, yapeleka bidhaa nyingi Kenya

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,390
5,310
Walipoambiwa na hayati Magufuli kuwa Corona ni vita ya kiuchumi hivyo wasiichukulie kwa papara kwa kutangaza lockdown hovyo hovyo hawakuelewa, sasa ndiyo wanaanza kuelewa sasa.

Kila kitu Kenya kimedorora kuanzia bandarini hadi biashara za kawaida lakini kwa Tanzania mambo ndiyo yameshika kasi uchumi unapaa.

20210812_071725.jpg
 
Jpm ameiacha nchi ikiwa inafanya vizuri sana kiuchumi katikati ya athari ambazo wengine wanaonja joto ya jiwe.. He was a real hero against corona in and out. RIP soldier!
 
Jpm ameiacha nchi ikiwa inafanya vizuri sana kiuchumi katikati ya athari ambazo wengine wanaonja joto ya jiwe.. He was a real hero against corona in and out. RIP soldier!
Aliyefungua upya biashara na Kenya ni Samia au JPM??
 
Aisee!
Imepeleka Kichapo!. Nimefungua huu uzi haraka nikijua labda ni taarifa ya Jeshi letu limepiga watu huko, kumbe ushuzi mtupu!.

Hii ndio misifa aliyokuwa anapenda kuisikia JPM.
 
Walipoambiwa na hayati Magufuli kuwa Corona ni vita ya kiuchumi hivyo wasiichukulie kwa papara kwa kutangaza lockdown hovyo hovyo hawakuelewa, sasa ndiyo wanaanza kuelewa sasa.

Kila kitu Kenya kimedorora kuanzia bandarini hadi biashara za kawaida lakini kwa Tanzania mambo ndiyo yameshika kasi uchumi unapaa.

View attachment 1889191
Unategemea matumikio badala ya mipango,huu ni wehu.Growth rate kwa kipindi hicho baina ya hizi nchi ilikuaje?

Afu mtoa mada usipotoshe Jiwe hahusiki hapo ushahidi huu hapa 👇👇

Screenshot_20210812-140635.png
 
Kipindi cha JPM mahusiano ya Kenya na Tz yalidorora sana ....nadhn ni Samia
Unadhani au ndio ukweli wenyewe, huyu Bi Mkubwa apewe sifa zake anapostahili. Juzi hapa meli imekuja na magari 3000 wenye wivu na Mama wanajifanya kazi ya JPM wakati alifeli kila angle. Huyu Mama kwenye siasa za Uchumi anamzidi mbali JPM ambae mtaji wake mkubwa ni kutumia mabavu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom