Spika Ndugai ni Mbunge au rais wa nchi fulani?

Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
1,998
2,000
Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge anayetafuta mbadala baada ya kupeleka mawazo hovyo bungeni? Alikwendaje Bungeni kabla ya kutuuliza huo mbadala?
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
6,822

Umenikumbusha wauza bangili
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,253
2,000
huyu anataka kutukamua tutoe kodi wakati yeye halipi kodi ila anaongoza kutumia kodi zetu vibaya yeye na mke wake. Mpaka leo bunge halijajadili ripoti ya CAG kwa sababu mkewe ni miongoni mwa watuhumiwa ameizima kama alivyoizima ripoti ya Prof. Asad
 
Hili la wabunge kutolipa kodi ni jambo la ufisadi. Walichokifanya waliweka mshahara wa mbunge kuwa ni milioni 2+, halafu wakaweka posho kibao hadi kufikia milioni 8. Ukiangalia utaratibu huo ina maana wanakwepa kodi kwa makusudi kabisa, kwa kupanga.
 
Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
4,052
2,000
Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge anayetafuta mbadala baada ya kupeleka mawazo hovyo bungeni? Alikwendaje Bungeni kabla ya kutuuliza huo mbadala?
Huyu ni mwehu. Spika hiyo sio kazi yake.

Kazi ya kumshawishi (lobbying) ilipaswa kufanyika kabla ya implementation ya hizo tozo kibao walizoweka kwenye simu.

Pia, spika yeye ni msimamizi wa Bunge hii kazi alipaswa kuisemea waziri na timu yake akiwepo Waziri Mkuu maana yeye ndio kiongozi wa shughuli za serikali bungeni.

Spika ni kiongozi wa mhimili mwingine wa Bunge hapaswi kukaa majukwani kabisa. Ni mjinga pekee ndio atamsikiliza huyu mgogo

Katika wagogo wenye akili kidogo amebaki simbachawene pekee nae sijui tumpe muda
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,513
2,000
Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge anayetafuta mbadala baada ya kupeleka mawazo hovyo bungeni? Alikwendaje Bungeni kabla ya kutuuliza huo mbadala?
Hiki kibushuti kipuuzwe tu.
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,130
2,000
Kwa hiyo ndugai ndo kawa msemaji wa waziri mkuu? namwona mkuu wa mkoa naye kawa msikilizaji wa ndugai akifanya kazi ya kuisemea serikali....
 
E oxygen

JF-Expert Member
Feb 25, 2021
326
250
Hata uwe na degrees 8 lkn upo ktk kibuyu cha kijani, huna tofauti sana bwagu na pwaguzi, sisemi kwa ubaya nyinyi pia ni mashaidi.
 
Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
15,093
2,000
Sasa ni dhahiri kuna ombwe la uongozi,Mama kazidiwa nguvu na genge kubwa bila yeye kujua.

1. Makamu wa Rais anafukuza DED na kutoa matamko kama Rais.

2. Waziri wa Fedha anaandaa kikundi cha kumsifu na kusimamisha msafara wake.ITV inamegewa fedha nyingi ili ku promote hiyo story.

3. Spika anatetea tozo kinyume na matamshi ya Rais

4. Polisi inawakamata viongozi wa Chadema na kubambika kesi ya ugaidi.Tunarejea kule kule mwendo wa kubambikiwa kesi.

Mpaka hapo unaona dhahiri kuna kundi limenyakua mamlaka ya nchi.
 
S.M.P2503

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
931
1,000
Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge anayetafuta mbadala baada ya kupeleka mawazo hovyo bungeni? Alikwendaje Bungeni kabla ya kutuuliza huo mbadala?
Miaka 60 wameshindwa kuyafanya hayo anayosema ndugai je hiyo miaka 4 iliyobaki kufikia 2025 ndio wataweza?
anaomba mawazo mbadala, wakipewa wanafungulia watu kesi za ugaidi na uhujumu uchumi..
Watu wamewastukia, watu wenyewe hawalipi kodi halafu ndio vinara wa kuwapangia walipa kodi nini cha kulipa,ngapi cha kulipa...na wakisha kusanya seating allowance zitaongezeka na hizo wala hazitafanya kama ndugai anavyosema...usanii mtupu na uongo mchana kweupe...
 
nusaki1974

Member
Apr 11, 2019
69
125
Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge anayetafuta mbadala baada ya kupeleka mawazo hovyo bungeni? Alikwendaje Bungeni kabla ya kutuuliza huo mbadala?
Kuna umuhimu wa kuheshimu watu lakini kwa ndugai wala sisiti kumuita mjinga mnafiki mpumbavu na mwenye roho mbaya mno hata ukiliangalia tu linapoongea utaliona kuwa limelewa madaraka na wala halikustahili kuwa hapo lilipo lipo kwa sababu ya marehemu fulani wanaefanana akili. Liliumwa likaenda india kutibiwa kwa milioni nyingi mno za kodi hilo limeshasahau bado linagomba kutaka raia wakatwe kutoka kwenye pesa za vitumbua wakati zakwake limeweka matakoni na familia yake linaringa kwa sababu magufuli kwa ulofa alikubali kuliwekea kinga ya kushitakiwa ndiyo maana linafanya mambo kipumbavu kwa sababu hamna cha kulifanya likistahafu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom