The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,502
- 2,046
Kila ninapowaona viongozi wakuu na uvaaji barakoa uaniletea maswali kadhaa.
Mara nyingi utawaona wamezingatia kuvaa barakoa mara tu wanapoonana lakini baada ya kuongea mawili matatu unakuta wamezivua barakoa na kuendelea kupiga soga.
Hii inamaanisha nini?
Hata hivyo ingawa mimi sio mtaalam wa afya imani yangu ni kwamba kwa mtindo wa maisha tunaoisha wakazi wa dar, hasa sisi raia wa kawaida ambao tunategemea usafiri wa umma na shughuli zetu ni za kujichanganya, ni idadi ndogo sana ya raia ambao bado hawajaambukizwa corona au hawapo kabisa.
Ukizingatia namna ugonjwa unavyoenezwa na mtindo wa maisha yetu unaponaje kuambukizwa? Ombi langu ni kwamba turejee maisha ya kawaida na si kulazimishana kununua barakoa wakati inajulikana kabisa kwamba ni wenye maisha ya juu tu wenye uwezo wa kuepuka corona kwa asilimia japo 70.