Huu ni Uzi wa tathimini yangu juu ya yanayoendelea kwa ujumla katika saga la Waziri na Askofu Gwajima.
Siku zote CHADEMA wamekuwa wakiwaomba viongozi wa dini kukosoa na kuikemea Serikali ya CCM...
Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema,
watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza...
Ukimsikiliza Gwajima Me ana hoja zake na Gwajima Ke ana hoja zake. Kikatiba wapo sawa. Na pia kwa Tamko la Rais. Wapo sawa. Chanjo ni Hiyari. Kwa nini?
Ndio maana Serikali inatujazisha fomu kuwa...
Watu hawa tumewadekeza sana na wanazidi kuwa wezi na mafisadi siku hadi siku.
Mwinyi alikuwa na matatizo ya kuuza Loliondo bila aibu na maeneo ya wazi Dar yakachukuliwa. Mkapa akauza viwanda...
Ndugu zangu nawasalimu Kwa jina la Jamhuri kazi iendelee. Naomba kutoa Mambo ambayo nimeyabaini
1. Rais Samia amekabidhiwa nchi huku akiwa hafahamu aanzie wapi na aiishie wapi
2. Marehemu...
Wakati akipokea ripoti ya Tume ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2020, hapo tarehe 21 mwezi huu, Ikulu jijini Dar, nilimsikia Rais Samia Suluhu Hassan, akielezea dosari...
Mkoa wa Songwe ni mojawapo ya mikoa inayopatikana kusini mwa Tanzania. Moa huu ulipatikana baada ya kugawanywa mkoa wa wa mbeya. Maaajabu ya mkoa ni kuwana miundo mibovu ya barabara. Mfano...
Sio mara moja wala mara mbili, watu wamekua wakiwalinganisha viongozi (Rais) na wazazi nyumbani. Kwa sasa Rais anaitwa mama na anayoyafanya kama vile afanyavyo kwa wanawe.
Imefika mahali hata...
Nchi ya Zambia ilimpata Rais wake wa kwanza mwaka 1968 mzee Kaunda akitokea chama cha UNIP, na baadae wakafuata marais wengine kama 7.
Fredrick Chiluba
Levy Mwanawasa
Rupia Banda
Michael Sata
Guy...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema...
Dar es Salaam.
Wakati wananchi wakiendelea na kilio cha tozo ya miamala ya simu ambayo ina takribani mwezi mmoja sasa, Serikali imesema bado inalifanyia kazi suala hilo na likikamilika majibu...
Wakuu, nimeisaka hii story hapa JF sijaiona; lakini inaweza kuwa mojawapo ya reference siku za usoni:
20/08/2021
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema tozo mbalimbali...
Video imebeba ujumbe wote.
Hapa chini akimjibu Spika na barua yake ya wito kumtaka atokee mbele ya kamati ya maadili, kinga na haki ya Bunge la JMT...
Amesema, atakwenda Dodoma kesho J'3...
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makala umetoa matamko sana tangia ule kiapo cha kuwa Mkuu wa Mkoa, cha ajabu hakuna linalotekelezwa hata moja
1) Ulianza na machinga ukachimba biti weeeh mwisho siku...
Hivi ndivyo mgogoro na malumbano juu ya chanjo ya Corona kati Gwajima wawili unaweza kumalizwa bila yoyote kupata ushindi;
Waziri na naibu waziri wake watatenguliwa uwaziri na kubaki wabunge wa...
Wakati Rais John Magufuli alipomteua Dr. Dorothy Gwajima kuwa Waziri wa Afya, wengi wetu tulifurahi kwa sababu tunautambua uwezo wake na umahiri wake kazini.
Ni mtu mcheshi, mchapakazi na...
List ya Kodi anazolipa raia Mnyonge:-
Pay as you earn
Vat 18% kwa kila bidhaa
4% Tax on services - Ufundi n.k
Ewura kwenye manunuzi ya umeme na Mafuta
Tanroad kwenye Mafuta wanachukulia humo humo...
Suala la tozo CHADEMA kimya ACT Wazalendo kimya nguvu ya kudai katiba itumike kupinga tozo
Suala la makato na tozo CHADEMA na ACT Wazalendo mmeuchuna tu nguvu inayotumika kudai katiba itumike...
Askofu Gwajima should not be arrested and here is why:
His anti- COVID-19 vaccine stance is stupid.
Stupid people are entitled to their stupid ideas and opinions.
They have the right to be...