Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akizungumza Jana mjini Mtwara bwana majaliwa amedai kuwa "uchambuzi wa kimazingira umekamilika na punde tukiingia madarakani tutaanza ujenzi wa reli mpya toka bandari ya Mtwara hadi liganga na...
10 Reactions
41 Replies
4K Views
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewaasa viongozi wa kidini kutojihusisha na kampeni za kisiasa kwa kuwaambia waumini wao kuhusu viongozi wa kuwachagua bali wabaki kuhubiri amani, upendo na umoja...
5 Reactions
87 Replies
7K Views
Tuchague Kukomesha kushindishwa Njaa watoto wetu Shule za Serikali. Wagonjwa wanaolazwa Mahospitali ya Serikali wapate huduma ya Chakula kwa gharama ya Serikali.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ametoa onyo kali kwa watu au vikundi vya watu vilivyopanga kufanya fujo siku ya uchaguzi ambapo ameeleza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Kuna tofauti kubwa sana iliyojitokeza jinsi tulivyo ripoti taarifa za uchaguzi za 2015 na hali ya sasa tunavyo endelea kuripoti. Kwanza tumetawaliwa na woga usiokuwa na sababu, na woga huu...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Askofu Gwajima amesema yeye amekuwa akiisaidia jamii kabla hata hajawa mwanasiasa kwa mfano kuwachimbia Waislamu visima vya maji katika misikiti ya Salasala na Makuti. Pia amewachimbia visima...
3 Reactions
70 Replies
5K Views
1. Jambo la kwanza usifanye fujo kituo cha kupigia kura au kupiga makelele,kuzozana nk ile ni sehemu ya kupanga msitari na kupiga kura yako kwa amani na utulivu 2. Kazi ya kujumlisha matokeo ya...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Tunapoelekea mwishoni mwishoni kuelekea uchaguzi mkuu hapo tarehe 28.10.2020 Ni bora tujikimbushe namna ya upigaji kura wetu. Kazi yetu kubwa sisi wapiga kura ni kwenda kuwapigia kura wagombea...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mufti Mkuu leo amepewa heshima ya kufungua kwa Dua mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa CCM na kabla ya kuanza dua amesema ana mambo mawili; 1. Kukanusha kile kinachodaiwa kuwa Waumini wa Dini...
80 Reactions
152 Replies
16K Views
KAMPENI ZA MAGUFULI MKOANI KILIMANJARO Nileteeni Madiwani Kama Juma Raibu Leo katika kampeni zake zinazoendelea Mkoani Kilimanjaro Rais na Mgombea wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakati...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimesikitishwa na kitendo cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuniandika kwamba Mimi sio mtu mzima licha ya kwamba nimezaliwa mwaka 1958. Hebu angalia picha hi ya orodha ya wapiga Kura. Je hizi ni...
1 Reactions
0 Replies
651 Views
Tume imeruhusu vitu viwili vya ajabu. Mosi ni kuruhusu watu kutumia vitambulisho mbadala (Pasi ya kusafiria na leseni ya udereva). Pili ni kuruhusu mpiga kura kurudia kupiga tena kura iwapo...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Wana JF habari. Mi sio mwanasiasa Ila Uchaguzi tunaoshiriki ni wengi japokuwa wengine huwa hawapigi kura Ila maneno wanayo mengi kwenye vijiwe. Kuelekea tarehe 28.10.2020 siku ya jambo la watu...
7 Reactions
180 Replies
14K Views
Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia. Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla...
121 Reactions
984 Replies
95K Views
Ndugu Polepole nakumbuka uliitisha vyombo vya habari na kutoa shutma dhidi ya Mgombe wa Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu A. Lissu kuwa "sio mwenzetu" na uliahidi kumuanika hadharani katika siku 7...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga. Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli. Nawaulizeni CCM...
45 Reactions
105 Replies
9K Views
Bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, naingia kwenye mada moja kwa moja. Katika andiko hili nimebainisha kinagaubaga mambo ambayo yatamuangusha Magufuli na kumuinua Hon Dr Tundu Antipas Lissu...
34 Reactions
114 Replies
10K Views
Masheikh wakanusha kauli ya Issa Ponda kuwa waislamu walikubaliana kumpigia kura Lissu. Sheikh Ponda Issa Ponda alisema hayo alipokuwa Dodoma akimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA...
9 Reactions
254 Replies
28K Views
Polisi Kigoma wanawashikilia watu watano (Viongozi wa Chadema) Kata ya Gwanumpu wilayani Kakonko kwa kukutwa na vitambulisho 14 vya kupigia kura kinyume cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi. RPC...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Back
Top Bottom