Uchaguzi 2020 Majaliwa Kasimu: Tutaanza ujenzi wa SGR nyingine Mtwara

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Akizungumza Jana mjini Mtwara bwana majaliwa amedai kuwa "uchambuzi wa kimazingira umekamilika na punde tukiingia madarakani tutaanza ujenzi wa reli mpya toka bandari ya Mtwara hadi liganga na mchuchuma zaidi ya umbali wa 1000km"

Chanzo
China Radio international kiswahili (CRI kiswahili)

Mytake
Hii ndio serikali ya awam ya tano ni reli ,flyover, ndege tuu kama hutak kajitusu 28/10_2020
 
Hakuzngumzia kuhusu ulinzi wa wana Mtwara dhidi ya magaidi kutoka msumbiji? Maana sijasikia statement yoyote kutoka kiongozi wa taifa ya hata pole au nimepitwa?
kuna uzi hapo habari mchanganyiko ,siro kaoengelea lakini ni utata mtupu
 
Dunia ya leo, bado wanatumia mbinu zilezile za kizamani, kuwadanganya WANYONGE wao.
Mkoloni alijenga reli toka Mwara mpaka Nachingwea lakini Serikali ya CCM ikaing'olea mbali wanyonge wa Kusini wangoje ya kisasa ya umeme ya SGR ya Awamu ya Tano. Kabla ya tarehe 28 Oktoba, Makamu wa Rais naye ataahidi kuanza ujenzi wa SGR kuunganisha visiwa vya Zanzibar na Pemba wanyonge wa huko nao wasiachwe nyuma kufaidi matunda ya Muungano. Mpaka Awamu ya Tano inamaliza muda wake madarakani, Chato, Ruangwa na Zanzibar tutafika kwa treni ya SGR, madege yakibaki yamepark Dar.
Dunia ya leo, bado wanatumia mbinu zilezile za kizamani, kuwadanganya WANYONGE wao.
 
Kipande cha SGR cha Dar-Moro kisichozidi kilometa 300 hakijaisha na kilitakiwa kikamilike mwishoni mwa mwaka 2019 lkn hadi sasa hakijaisha, leo wanatuambia kutaka kuanza kujenga Mtwara-Mbamba Bay! Wamalizie kwanza SGR ya reli ya kati kwanza kabla ya kuja na ahadi mpya ambazo utekelezaji wake unahitaji maiak 20 ijayo. Uungwana ni kukamilisha kwanza kile ulichoanza kabla ya kuja na ahadi mpya wakati hata kile ulichoahidi kukikamilisha bado hujakamilisha. Anyway, hawana cha kuwafanyia watu wa Kusini baada ya kuwavuruga kwenye korosho, kulichobakia ni kuwadanganya tu ili wapate kura.

Vv
 
Akizungumza Jana mjini Mtwara bwana majaliwa amedai kuwa "uchambuzi wa kimazingira umekamilika na punde tukiingia madarakani tutaanza ujenzi wa reli mpya toka bandari ya Mtwara hadi liganga na mchuchuma zaidi ya umbali wa 1000km"

Chanzo
China Radio international kiswahili (CRI kiswahili)

Mytake
Hii ndio serikali ya awam ya tano ni reli ,flyover, ndege tuu kama hutak kajitusu 28/10_2020
Ghilba tupu.
 
Back
Top Bottom