Mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan alitoa Homework Juu ya Tozo la Miamala Wewe na Timu yako Mnaohusika mliangalie Upya Suala hili, sio Kufuta bali kupunguza Makali Ya Tozo.
Badala yake Kwa...
Habarini ndugu,
Siku za hivi karibuni kumekua na ajali nyingi sana za barabarani, ambazo kwa kiasi kikubwa zinasababishwa na uzembe wa madereva. Lakini, askari wa barabarani wamejisahau sana na...
Kwa muda mrefu chama chetu kimekuwa na ukaribu na Ccm.
Hata shughuli za kitaifa kama sherehe za uhuru na masuala mengi viongozi wetu wamekuwa wakialikwa.
Leo hii nimeshangaa kusikia kiongozi wa...
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi...
Sisi wananchi wa Jimbo la Kawe hatujakutuma kugombana na kutukanana na shemeji yako.
Mambo ya kusema kuwa ndoa mbili za shemeji yako zilivunjika sababu ya tabia zake, na tangu ameingia kwenye...
Suala la katiba lipewe kipaumbele sana.
Katiba ni uhai.
Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii.
Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni...
Kwa msafara aliosafiri nao wamo makada na watumishi wa CCM kuanzia wajumbe ya NEC na katibu wa itikadi na uenezi. Hawa wote wamesafiri kwa kutumia kodi zetu. Swali langu Watu hawa walioambatana na...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na mawakili wa utetezi wanaomuwakilisha mshitakiwa wa pili Sylivester Nyegu katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha...
Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi...
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Kamati ya Olimpiki kujitathmini na kuja na mkakati utakaowezesha kuongeza idadi ya washiriki katika mashindano mbalimbali tofauti na ilivyo sasa ambapo timu...
Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola...
Wamekosea sana kumpeleka kuhojiwa kwenye kamati za vitisho na polisi kwa sababu huko ataibuka mshindi tu kwani hawataweza kujibu hoja zake. Na kwa kuwa wameshamtisha na akaonyesha ushupavu wa...
Ninatoa mfano wa Dr Mwigulu akiwawakilisha Mawaziri na Viongozi wote wa Serikali, hasa wale wateule wa Rais.
Pakikucha Dr. Mwigulu anakuta nje gari la Ofisi limepaki anachukuliwa na dreva - gari...
Kesi namba 456 ya mwaka 2016 inawakabili Mkurugenzi wa Jamii Media Ndg. Maxence Melo na mwana hisa mwenzake Micke William itasomwa leo Aprili 08, 2020 mbele ya Hakimu Thomas Simba kwenye Mahakama...
Rais Samia alihudhuria mkutano wa SADC juzi huko Zimbabwe??? Najiuliza, Hivi SADC has it ever accomplished anything material beneficial to its suffering populations? Mwenye kufahamu anipe mifano...
Gwajima admits to have received Speaker's letter
Dar es Salaam. Member of Parliament for Kawe constituency, Bishop Josephat Gwajima has admitted receiving a letter requiring him to appear...
Ukweli ni kwamba Mbowe hakufikishwa Mahakamani ili kukwepa nguvu ya umma na jumuiya za kimataifa , hasa baada ya kuonekana dhahiri kwamba Mashitaka dhidi ya Mbowe ni ya uongo .
Natoa wito kwa JF...