Rais Samia wasaidizi wako wa Uchumi pamoja na Jeshi la Polisi nchini vinaharibu mwenendo wa Serikali yako

SOPINTO

Senior Member
Oct 19, 2020
155
385
Rais samia tambua kuwa kila jambo litakalofanyika ndani ya serikali yako liwe zuri au baya ni wewe ndio unayenyooshewa kidole na si mtu mwingine , kuwa makini sana na hawa wasaidizi wako wanafanya maamuzi yao ikiwa pamoja na kujenga hoja juu ya maamuzi hayo kwa maslahi yao binafsi , husifikiria upo nao katika boti moja inayosafiri mpaka 2025 , finally watakutosa baharini , nikuambie tu CCM ni ileile vigeugeu ni walewale , ndio maana kuna wakati Mwendazake alikuwa anafanya maamuzi yake bila hata kukushirikisha wewe uliyekuwa makamu wa Rais .

Lengo la kufanya hivi alikuwa anaepuka kuingizwa chaka na vijamaa fulani , Mwigulu tayari alishafahamika ndio mana aliwekwa kando , jeshi la Polisi nchini halina sayansi ya kudhibiti matukio sanasana watakuletea matatizo na kesi zisizo na kichwa wala miguu alafu na wewe bila hata kutumia busara unaingia mkenge shauri yako ndani ya CCM kuna wakati inafika kila mtu afe rwake kumbuka issue ya Lowassa na JK hali ilivyokuwa .

Watu walitengeza dili ya mitambo feki ya gharama kupitia TANESCO alafu finally mzigo alibebeshwa Lowasa , Rais Samia sio kila anaekuchekea ndio mkweli kwako , sio anaejifanya kuwa anataka nchi ifikie uchumi wa kati kwa kuwaamiza wananchi kwa tozo za mawazo na idea za akina Mwigulu kuwa huyo anakupenda , mwishoni utajua mbichi na mbivu ni zipi. Fanya nchi itawalike kesi zisizo na faida achana nazo kwanini upate doa kutoka kwa mabalozi kisa kesi hisiyo na mapana kwa maslahi ya taifa .

Umeenda Zambia huyo uliyeudhuria sherehe yake leo ndio huyohuyo siku chache za nyuma alikuwa analala korokoroni ,na kupewa majina mabaya yote kama Mzandiki na muhujumu wa taifa lakini leo ndiyo huyo huyo anaitwa Rais wa taifa la Zambia , natumaini umejifunza kitu kwa akili yako , husijifunze kitu katika ziara hii kwa ushauri kutoka kwa mbunge Kibajaji huyo ni zero braini hakuna msaada hapo.

Tujifunze dhana nzima ya ugaidi nini maana yake , hata wamerekani wameikategorize terrorism in various classes, sasa huo ugaidi wa Mbowe upo katika class gani ya ugaidi wa duniani ? Hili jeshi la Polisi linatumia mgongo wa serikali yako kupata kiki kutoka kwako mbona enzi za JPM haya hayakuwepo ? , be very carefully Rais Samia , kitendo cha mabalozi kuanza kuja kusikiliza kesi mahakamani maana yake nini , je picha gani inakuja mbele yako , je wanadiplomasia ndani ya ofisi yako wanakushauri nini , hivi ni vitu vya msingi sana katika utawala wako, utapata msaada wa kupambana na Korona lakini swala la Utawala Bora litakuleta shida na utakosa baadhi vigezo vya kidiplomasia , kwasasa unapigana vita ya Korona kwanini uanze kuingiza vita nyingine ya ndani?

Kuwa makini sana na washauri wako , umiza kichwa chako , mwenzako mwendazake alikuwa analala na mafaili kitandani , wewe endelea kutegemea wasaidizi wako kufikiri kwa kila kitu ikifika saa sita kasoro usiku utakuta moto umebadilika kuwa mkaa na majivu juu.

Yangu ni hayo tu.
 
Good advice
 
Watanzania wengi ni wajinga mfano ni wewe
Hata wewe ni mjinga pia. Maana hujaonyesha ulipo ujinga huo unaomtuhumu mwenzio. Kila mtu anaweza kuwa mjinga katika baadhi ya mambo lakini siyo yote. Ila wewe nakuona kama mjinga zaidi ya mwenzio kwa vile huonyeshi ulipo ujinga wake. Mie nakuona mjinga kwa kushindwa kumuonyesha ujinga mwenzio. Huo ndiyo ujinga wako mwanangu.
 
Rais samia tambua kuwa kila jambo litakalofanyika ndani ya serikali yako liwe zuri au baya ni wewe ndio unayenyooshewa kidole na si mtu mwingine , kuwa makini sana na hawa wasaidizi wako wanafanya maamuzi yao ikiwa pamoja na kujenga hoja juu ya maamuzi hayo kwa maslahi yao binafsi , husifikiria upo nao katika boti moja inayosafiri mpaka 2025 , finally watakutosa baharini , nikuambie tu CCM ni ileile vigeugeu ni walewale , ndio maana kuna wakati Mwendazake alikuwa anafanya maamuzi yake bila hata kukushirikisha wewe uliyekuwa makamu wa Rais .

Lengo la kufanya hivi alikuwa anaepuka kuingizwa chaka na vijamaa fulani , Mwigulu tayari alishafahamika ndio mana aliwekwa kando , jeshi la Polisi nchini halina sayansi ya kudhibiti matukio sanasana watakuletea matatizo na kesi zisizo na kichwa wala miguu alafu na wewe bila hata kutumia busara unaingia mkenge shauri yako ndani ya CCM kuna wakati inafika kila mtu afe rwake kumbuka issue ya Lowassa na JK hali ilivyokuwa .

Watu walitengeza dili ya mitambo feki ya gharama kupitia TANESCO alafu finally mzigo alibebeshwa Lowasa , Rais Samia sio kila anaekuchekea ndio mkweli kwako , sio anaejifanya kuwa anataka nchi ifikie uchumi wa kati kwa kuwaamiza wananchi kwa tozo za mawazo na idea za akina Mwigulu kuwa huyo anakupenda , mwishoni utajua mbichi na mbivu ni zipi. Fanya nchi itawalike kesi zisizo na faida achana nazo kwanini upate doa kutoka kwa mabalozi kisa kesi hisiyo na mapana kwa maslahi ya taifa .

Umeenda Zambia huyo uliyeudhuria sherehe yake leo ndio huyohuyo siku chache za nyuma alikuwa analala korokoroni ,na kupewa majina mabaya yote kama Mzandiki na muhujumu wa taifa lakini leo ndiyo huyo huyo anaitwa Rais wa taifa la Zambia , natumaini umejifunza kitu kwa akili yako , husijifunze kitu katika ziara hii kwa ushauri kutoka kwa mbunge Kibajaji huyo ni zero braini hakuna msaada hapo.

Tujifunze dhana nzima ya ugaidi nini maana yake , hata wamerekani wameikategorize terrorism in various classes, sasa huo ugaidi wa Mbowe upo katika class gani ya ugaidi wa duniani ? Hili jeshi la Polisi linatumia mgongo wa serikali yako kupata kiki kutoka kwako mbona enzi za JPM haya hayakuwepo ? , be very carefully Rais Samia , kitendo cha mabalozi kuanza kuja kusikiliza kesi mahakamani maana yake nini , je picha gani inakuja mbele yako , je wanadiplomasia ndani ya ofisi yako wanakushauri nini , hivi ni vitu vya msingi sana katika utawala wako, utapata msaada wa kupambana na Korona lakini swala la Utawala Bora litakuleta shida na utakosa baadhi vigezo vya kidiplomasia , kwasasa unapigana vita ya Korona kwanini uanze kuingiza vita nyingine ya ndani?

Kuwa makini sana na washauri wako , umiza kichwa chako , mwenzako mwendazake alikuwa analala na mafaili kitandani , wewe endelea kutegemea wasaidizi wako kufikiri kwa kila kitu ikifika saa sita kasoro usiku utakuta moto umebadilika kuwa mkaa na majivu juu.

Yangu ni hayo tu.
Ameshafika kikomo cha kufikiri
 
Mheshimiwa Rais rejea yafuatayo:
1. Bei ya mafuta ya kula, diseli na petrol.
2. Uminywaji wa uhuru wa vyama vya siasa
3. Ubambikiaji kesi kwa viongozi wa kisiasa hasa mtoto wa ubatizo wa Mwl. Nyerere
4. Mtaani timu za siasa 2025
a.Timu JRM
b.Timu SJ
c.Timu MLN.
d. Timu SG (hii imeanza kusambaratika japo kura zao nyingi)
 
Mheshimiwa Rais rejea yafuatayo:
1. Bei ya mafuta ya kula, diseli na petrol.
2. Uminywaji wa uhuru wa chama vya siasa
3. Ubambikiaji kesi
4. Mtaani timu za siasa 2025
a.Timu JRM
b.Timu SJ
c.Timu MLN.
d. Timu SG (hii imeanza kusambaratika japo kura zao nyingi)
Vitipisho nimeshindwa ukiacha sukuma gang
 
Back
Top Bottom