Wazungu wanavyoitazama Tanzania

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,199
2,000
Leo hii wasanii wa vyombo vya habari vya kimataifa wametoa vibonzo mbali mbali kuhusu hali ya maisha ya mtanzania.

Mojawapo ni msanii wa kituo cha radio cha ujerumani yaani DW.
Hapo chini ni mchoro unao waonyesha watawala wetu wakijadiliana jinsi ya kumfanya mnyonge,mvuja jasho wa nchi hii.

Hakika cha moto tunakiona ingawa hatujafa.​

Screenshot_20210825-161245.jpg
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,801
2,000
Wengine waliweka kibonzo hiki. Ni baada ya kugundua kuwa michango tuliyokuwa tunachangia chama wakati wa uchaguzi mkuu imeliwa na mwenyekiti akishirikiana na genge lake. Watanzania sijui tumelogwa maana kila tunaemuamini anatupiga za mbavu.

2528007_20200919_173148.jpg
 
mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
262
500
Ilikuwa hoja nzuri sana ya kujadili na hiyo katuni lakini kwanini utumie wazungu wanavyo itazama TZ. Sisi je?

Kidogotu wazungu.

Yaani macho yetu hayaoni mpaka tuazime ya wazungu

Akili zetu azifanyi kazi mpaka tutumie akili za wazungu

Masikio yetu hayafanyi kazi mpaka tuazime ya wazungu.

Imani zetu zilikuwa azifanyikazi mpaka tuazime kwa wazungu.

Kula na hata kupika tunaiga kwa wazungu.

Sasa mpaka ngozi ya mwili tunaazima, yaani dada zetu kujichubua na kuvaa 3pics Afrika na jua la utosi.

Afrika tupo utumwani, tujikomboe taratibu kutoka utumwa wa kiakili. (Bob Marley).
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,366
2,000
Leo hii wasanii wa vyombo vya habari vya kimataifa wametoa vibonzo mbali mbali kuhusu hali ya maisha ya mtanzania.

Mojawapo ni msanii wa kituo cha radio cha ujerumani yaani DW.
Hapo chini ni mchoro unao waonyesha watawala wetu wakijadiliana jinsi ya kumfanya mnyonge,mvuja jasho wa nchi hii.

Hakika cha moto tunakiona ingawa hatujafa. View attachment 1907899
Hatari sana
IMG-20210825-WA0214.jpeg
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
9,038
2,000
Leo hii wasanii wa vyombo vya habari vya kimataifa wametoa vibonzo mbali mbali kuhusu hali ya maisha ya mtanzania.

Mojawapo ni msanii wa kituo cha radio cha ujerumani yaani DW.
Hapo chini ni mchoro unao waonyesha watawala wetu wakijadiliana jinsi ya kumfanya mnyonge,mvuja jasho wa nchi hii.

Hakika cha moto tunakiona ingawa hatujafa. View attachment 1907899
Mama Tozo na baba Tozo haooo!
 
Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
9,678
2,000
Leo hii wasanii wa vyombo vya habari vya kimataifa wametoa vibonzo mbali mbali kuhusu hali ya maisha ya mtanzania.

Mojawapo ni msanii wa kituo cha radio cha ujerumani yaani DW.
Hapo chini ni mchoro unao waonyesha watawala wetu wakijadiliana jinsi ya kumfanya mnyonge,mvuja jasho wa nchi hii.

Hakika cha moto tunakiona ingawa hatujafa. View attachment 1907899
Waweke Kodi ya pumzi?
 
darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
6,291
2,000
Ilikuwa hoja nzuri sana ya kujadili na hiyo katuni lakini kwanini utumie wazungu wanavyo itazama TZ. Sisi je?
Kidogotu wazungu.
Yaani macho yetu hayaoni mpaka tuazime ya wazungu
Akili zetu azifanyi kazi mpaka tutumie akili za wazungu
Masikio yetu hayafanyi kazi mpaka tuazime ya wazungu.
Imani zetu zilikuwa azifanyikazi mpaka tuazime kwa wazungu.
Kula na hata kupika tunaiga kwa wazungu.
Sasa mpaka ngozi ya mwili tunaazima, yaani dada zetu kujichubua na kuvaa 3pics Afrika na jua la utosi.
Afrika tupo utumwani, tujikomboe taratibu kutoka utumwa wa kiakili. (Bob Marley).
....wanacdm wanaamini wazungu ndio watetezi badala ya Watz
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
15,319
2,000
Leo hii wasanii wa vyombo vya habari vya kimataifa wametoa vibonzo mbali mbali kuhusu hali ya maisha ya mtanzania.

Mojawapo ni msanii wa kituo cha radio cha ujerumani yaani DW.
Hapo chini ni mchoro unao waonyesha watawala wetu wakijadiliana jinsi ya kumfanya mnyonge,mvuja jasho wa nchi hii.

Hakika cha moto tunakiona ingawa hatujafa. View attachment 1907899

Ukituwekea na orodha za tozo kwa hizo nchi unazoziongelea kwamba wanatutazama tutakuelewa na kuelewana zaidi

Vinginevyo badili topic au njoo na suluhu sio kuwasifia tuu hao usiowajua
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom