Hivi Mheshimiwa rais Samia, atavumilia mpaka mara ngapi kauli za IGP Sirro?

viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,143
1,291
Hakika Watanzania tumesikia kauli za mkuu wa Jeshi hivi karibuni, kauli tata sana kwa kiongozi wa juu wa serikalini. Kwanza tulisikia alipotoa kauli tata kuhusia na kesi ya Mbona ambayo tayari ipo mahakamani.

Sijui kwa kutojua au uzembe wa kufikiri kwamba kesi ikishafika mahakamani sio jambo la busara kwa mtu au kiongozi yeyote yule kuzungumzia suala hilo, Hivi majuzi
tumesikia akiwakashifu wakina mama wetu kwamba wasije wakatuzalia mtoto kama gaidi hamza.

Hivi Mheshimiwa rais Samia, atavumilia mpaka mara ngapi kauli za IGP SIRRO , inabidi umpuzishe kwa haraka sana kwa manufaa ya TAIFA huenda ikawa ubongo wake ndio umefika kikomo
 
Wiki iliyopita Rais aliwataka polisi wasitumie nguvu, vifo vya mahabusu katika vituo vya polisi havileti picha nzuri katika sura ya jeshi.

Sirro amemjibu, mnataka tusitumie nguvu lakini yakitokea hakuna anaehoji haki ya polisi. Kus iwe na double standards.
 
Kama hv
f724c16ee4eeda7911f73c45be6b272d.jpg
 
Back
Top Bottom