Mbowe aachiwa bila dhamana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe aachiwa bila dhamana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by masingo sharili, Nov 10, 2011.

 1. m

  masingo sharili Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa cdm taifa Mh. Mbowe leo ameachiwa bila dhamana. Ktk hali isiyo ya kawaida Mbowe alitakiwa na mahakama kuwekewa dhamana lkn alikataa na mahakama ikanywea ghafla na kumwomba aondoke bila dhamani mahakamani.

  Duh!
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,310
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  hahahaaaa...!!wameshashituka.mia
   
 3. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,866
  Likes Received: 2,023
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo mahakama sasa nazo hazifuati sheria siyo??

  Kweli Bongo sasa mambo mdundo!! Yule mkuu wa mkoa alikuwa wapi kutoa ushauri safari hii??
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  he he he he he heeeeeee.... Lema effect!
   
 5. l

  lilrony New Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi sana... good start....bravo
   
 6. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,720
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Can somebody help me to understand the dimensions of this story? Nahisi napotelea katikati ya njia

  Yaani kakataa dhamani halafu kaachiwa tu kujiondokea?? mmmhhh, kweli kifo cha mende...........
   
 7. Dullo

  Dullo JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2009
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tutasikia mengi muda ukifika
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,069
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  nchi hii bwana yaani inaedeshwa kama mtekenyo pub
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hahaaa nadhani mwandishi alikuwa na furaha sana wakati anaandika hii habari,

   
 10. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Imekaa vizuri. Peoples Poweeeeeeeeeeeeeeeeer!
   
 11. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba kueleweshwa maana mimi sio mwanasheria!

  Hivi inawezekana mtu (mtuhumiwa) akaachiwa bila dhamana?

  Kuna dhamana tofauti tofauti: Mtu anaweza kujidhamini mwenyewe au kudhaminiwa na mtu mwingine. Je kama haya mawili hayatokei mtu ataachiwa vipi AU waliomwachia Mh. Mbowe (big up to him) wamevunja sheria? Kama wamekiuka utaratibu ni hatua gani wanaweza kuchukuliwa kisheria?
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,849
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mimi si mwanasheria,lakini naona kuna kitu hapa hakijakaa sawa!!
   
 13. L

  Lua JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 705
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wanatishia kujamb....... kumbe wanatumbo la kuhalish......... tunajivunia nini?
   
 14. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Uanasheria ni RARE PROFESSIONAL, kama ulivyo udaktari na urubani wa meli na ndege. Hawa mahakimu wa mahakama za Arusha wanatia kichefuchefu kwa ku abuse taaluma hii, maadili kabisa hawana.
   
 15. P

  Paul S.S Verified User

  #15
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,914
  Likes Received: 251
  Trophy Points: 180
  Hii habari ipo juu juu sana,
  huwezi amini kirahisi habari kama hii,
   
 16. j

  jmushi1 JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 16,234
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Atakuwa amejidhamini mwenyewe.Inategemea na mashtaka.
   
 17. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hawatarudia tena hilo kosa.
   
 18. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,942
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Hii ni kali watapindisha kesi hadi wajione wajinga, bila Chadema haya tungeyaona wapi.
   
 19. B

  BigMan JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,096
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  WATU WENGINE BWANA MNAJITUNGIA TU VITU BILA YA KUFANYA UTAFITI NA BOFYA HAPA UPATE UHAKIKA BADALA YA KUKURUPUKA

  MICHUZI: MWENYEKITI WA CHADEMA AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO JIJINI ARUSHA
   
 20. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,942
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Mleta mada amesema alikataa dhamana.
   
Loading...