Mahakama kutoa uamuzi pingamizi la Mbowe na wenzake Septemba 01, 2021

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kesho Jumatano Septemba 1, 2021 itaamua pingamizi la Mbowe na wenzake kama mahakama hiyo ina mamlaka ya kusikiliza kesi yao ama la.

Mbowe na wenzake wameipinga mahakama hiyo kuwa haina mamlaka ya kusikiliza kesi yao kwa mashtaka ya ugaidi na kwamba kwa mujibu wa Sheria ya Kuzuia Ugaidi kesi yao inapaswa kusikilizwa na Mahakama Kuu ya kawaida na si hiyo ambayo ni Divisheni Maalum.

Serikali imepinga hoja hizo ikidai kuwa kwa mujibu wa marekebisho ya sheria mbalimbali namba 3 ya Mwaka 2016 makosa yaliyoko kwenye Sheria ya Ugaidi yaliwekwa kwenye Sheria ya Uhujumu Uchumi na kwamba kwa hali hiyo mahakama hiyo ya ufisadi ina mamlaka ya kusikiliza mashtaka yao.

Jaji Elinazer Luvanda baada ya kusikiliza hoja za pande zote ameahirisha kesi hiyo hadi kesho Jumatano asubuhi atakapotoa uamuzi.

Chanzo: Mwananchi
 
Mawakili wa Gaidi wanaonyesha kukata tamaa mapema, wamenusa ngoma nzito sana, hivyo wanapambana aibu na uovu wa Gaidi zisisikilizwe, hivyo wanapambana angalu afutiwe kesi.
kazi ipo
 
Hujui lolote. Mawakali lengo Lao ni kupata tafsiri sahihi ya kikatiba mwisho wake ionekane katiba Ina mapungufu na kifuatacho ni mabadiliko ya katiba. Jiongeze hata robo ya fikira
 
Umemjibu vizuri sana huyo mama ntilie zandrano.
It is high time she sticks to her lane.
 
Hujui lolote. Mawakali lengo Lao ni kupata tafsiri sahihi ya kikatiba mwisho wake ionekane katiba Ina mapungufu na kifuatacho ni mabadiliko ya katiba. Jiongeze hata robo ya fikira
hamna la maana hapo, hakuna utata wowote wa kisheria ila ni janja janja tu ya kuleta usumbufu usio kuwa na tija.wanapoteza muda wa mahakama bure tu kwa hoja dhaifu.
 
Wewe ni Malaya wa kisiasa huna akili ya kuelewa.Una umalaya wa kisiasa ni vigumu kwako
 
hamna la maana hapo, hakuna utata wowote wa kisheria ila ni janja janja tu ya kuleta usumbufu usio kuwa na tija.wanapoteza muda wa mahakama bure tu kwa hoja dhaifu.
Kwa akili ya kawaida. Mashitaka ya Ugadi yanasikilizwa katika mahakama gani. Masheikh wa uamsho Walikuwa wanapelekwa mahakama gani. JF ni sehemu ya fikra Pana.
 
Soma Hati ya Mashitaka inayo Mkabili Mbowe na wenzake.
kwa kukusaidia tu, Hati ya mashitaka inasomeka hivi;
"ECONOMIC CRIME CASE NO.63 OF 2020"
Ugaidi ni sehemu ya Makosa ya Uhujumu uchumi ambayo yanasikilizwa ktk Mahakama ya Makosa hayo ya Uhujumu uchumi.
hati ya mashitaka yenyewe bila hata kuambiwa inajielekeza ktk mahakama hiyo ambayo tunaiita ya "mafisadi".
 
Kwa hiyo kule Kisutu huwa wanaenda kusikiliza kesi gani?
 
Mawakili wa Gaidi wanaonyesha kukata tamaa mapema, wamenusa ngoma nzito sana, hivyo wanapambana aibu na uovu wa Gaidi zisisikilizwe, hivyo wanapambana angalu afutiwe kesi.
kazi ipo
We ni mjinga. Hujui kuwa hiyo divisheni ni genge la marehemu alilokuwa ametengeneza kwaajili ya kuwaonea matajiri?

Mawakili wanataka kesi isikilizwe na majaji halisi, na aiyo hilo genge la marehemu.
 
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kesho Jumatano Septemba 1, 2021 itaamua pingamizi la Mbowe na wenzake kama mahakama hiyo ina mamlaka ya kusikiliza kesi yao ama la.

Mbowe na wenzake wameipinga mahakama hiyo kuwa haina mamlaka ya kusikiliza kesi yao kwa mashtaka ya ugaidi na kwamba kwa mujibu wa Sheria ya Kuzuia Ugaidi kesi yao inapaswa kusikilizwa na Mahakama Kuu ya kawaida na si hiyo ambayo ni Divisheni Maalum.

Serikali imepinga hoja hizo ikidai kuwa kwa mujibu wa marekebisho ya sheria mbalimbali namba 3 ya Mwaka 2016 makosa yaliyoko kwenye Sheria ya Ugaidi yaliwekwa kwenye Sheria ya Uhujumu Uchumi na kwamba kwa hali hiyo mahakama hiyo ya ufisadi ina mamlaka ya kusikiliza mashtaka yao.

Jaji Elinazer Luvanda baada ya kusikiliza hoja za pande zote ameahirisha kesi hiyo hadi kesho Jumatano asubuhi atakapotoa uamuzi.

Chanzo: Mwananchi
Kuna sababu za msingi za kuwa na mahakama tofauti kwa "uhujumu uchumi" na "ugaidi" nini maana ya maneno hayo, na neno "mahakama"
Hapo ndipo unaona dalili za arbitrariness, ambiguity na capriciousness. Mambo au vigezo vikuu vya BAD GOVERNANCE!

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom