Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa namna vijana wa mwendazake walikatiziwa ulaji ghafla kufuatia kifo cha mpendwa wetu, ni dhahiri hawa wa sasa hawatarudia makosa. Ukiwaangalia akina Polepole ni kama vile wanataka kupata...
11 Reactions
17 Replies
2K Views
Spika Ndugai amesema January Makamba ana uzoefu wa kutosha katika sekta ya nishati hivyo anategemea atahakikisha petrol haipandi pandi bei ovyo. Pia, mikataba mingi ilisharekebishwa hivyo...
16 Reactions
77 Replies
7K Views
WAKATI Serikali ikiwa imetenga Sh1.5 bilioni kwa ajili ya ununuzi wa ndege mpya ya Kituo cha Taifa cha Kilimoanga, pamoja na kusomesha rubani mmoja, imebainika kuwa ndege tatu za kituo hicho...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Justine Peter Mwandu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC). Taarifa iliyotolewa leo...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Wizara hii imesababisa waziri mkuu E. Lowassa kujiuzulu, Karamagi na wengine wengi wakati huo hoja kuu ikiwa ni Richmond. Hivi majuzi Katibu mkuu amefukuzwa kazi Bwana Jairo kwa ajili ya rushwa...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Baada ya wakulima kuilalamikia serikali na mbunge wa viti maalumu wa CHADEMA kuibua hoja bungeni (hatuwataji covid19 kumbe bado wana msaada kwa wananchi wabunge wa CCM waliunyuti kama haiwausu)...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Awamu ya 5 tuliambiwa upatikanaji wa dawa kwenye maeneo hayo umefikia hadi 94% hii likuwa 2018 , lakini watu walewale kwenye awamu ya 6 mwaka 2021 tunaambiwa upatikanaji wa dawa kwenye Zahanati...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Rais Samia Anaweza kuwa Rais Bora kabisa kutokea nchini Tanzania. Ila kinachotokea Sasa ni kama kila mtu anataka kuandika anachokiamini kwenye kitabu chake. Sasa kuna mnyukano mkubwa, CCM na...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Nikiri mwanzoni kabisa mwa andiko langu kwamba sifurahii na Wala siuzuniki Kwa mabadiliko chanya au hasi ya baraza la mawaziri au chochote katika nchi hii. Na sababu ni kwamba Mimi ni muumini wa...
12 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana bodi, NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni...
6 Reactions
160 Replies
8K Views
Kwa masaa kadhaa nimetafakari uwezo mkubwa na busara alizonazo Mama yetu, Rais wetu, Mama wa Vitendo, Mhe Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania alipokuwa akiwaapisha viongozi mbalimbali leo. Rais...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Kiukweli, sikuwasikiliza kichele na mbogo sababu ni waongo waongo, hawa wawili walichangia sana kuharibu uendeshaji wa serikali kwa kufuata misingi ya utawala bora, wanatia kichefu chefu sana...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu Wamachinga wa soko la Samunge maarufu kama NMC jijini Arusha wameieleza kilio chao kwa mbunge Mrisho Gambo cha kulipa ushuru wa shilingi 50 kila siku huku wanaowatoza wakiambiwa kuwa...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
"Baada ya kushinda kesi ya Mh Freeman Mbowe na wenzake, mjadala sasa ni juu ya matumizi ya 350M, hatujadili uhai wa Akwilina. Nani alimuua? Nani anawajibika? Mkurugenzi wa Kinondoni anawajibikaje...
14 Reactions
50 Replies
5K Views
"Nazijua Siasa za ndani na nje ya Tanzania pengine kuliko Wanasiasa wengi nchini na nimezipractise in black and white nje ndani hivyo hakuna wa Kunidanganya" Chanzo: Radio One Promo ya Kipindi...
20 Reactions
76 Replies
7K Views
Katiba ya JMT ibara ya 109 (2) inampa Rais mamlaka ya kuteua Jaji Kiongozi na Majaji wengine wa Mahakama kuu, Muhimili huu wa utoaji haki unatakiwa kuwa huru katika kutekeleza shughuli zake hiyo...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Kijiji cha malkia HANGAYA SULUHU Hupewa mfano wa kijiji kilichotawaliwa na wageni ambacho kilikuwa na amani na utulivu Watu wake hupata chakula chao kutoka katika rasilimali zilizopo ndani yake...
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa. Usimamizi mzuri wa JNHP huko rufiji...
11 Reactions
59 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Septemba 11, 2021 amekutana kwa mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu Wa UN Bi Amina J. Mohamed Mazungumzo hayo muhimu ya...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Mahakama kuu Kanda ya Arusha masjala ndogo ya Kazi imemwamuru dalali wa mahakama wa Kampuni ya Nutmeg Actioneers Property ya jijini hapa kuhakikisha ifikapo oktoba 15 mwaka huu awe ameuza Mali za...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…