Kikao cha Kamati Kuu ya CCM chakamilika Dodoma

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
327
414
Mwenyekiti wa @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu @samia_suluhu_hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu kilichoketi leo Septemba 10, 2021 Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma.

#ChamaImara
#KaziIendelee

FB_IMG_1631263285030.jpg

FB_IMG_1631263281512.jpg

FB_IMG_1631263288775.jpg

FB_IMG_1631263292674.jpg
 
Siro na jeshi lake walikua wap mpaka chama hicho kimekamilisha kikao hcho bila kubughudhiwa??

Sitegemei kuona Jaji Mutungi bado ataendelea kuleta habar zake za kutofanya makongamano na mikutano ya ndani mpaka akutane na Vyama na Sirro, nakat chama kimoja kimekaidi Tayari!
 
Agenda ni zipi tofauti na Gwajiboy, Slaa na Polepole.... Naamini mshenga wa Yesu alikuwepo kufafanua jinsi alivyo muozesha kule Kapranaum!
 
Siro na jeshi lake walikua wap mpaka chama hicho kimekamilisha kikao hcho bila kubughudhiwa??

Sitegemei kuona Jaji Mutungi bado ataendelea kuleta habar zake za kutofanya makongamano na mikutano ya ndani mpaka akutane na Vyama na Sirro, nakat chama kimoja kimekaidi Tayari!
Si walikuwa wahudumu wa chai na kufungua milango hapo, huku wakipokea maagizo mapya jinsi ya kushugulikia 'magaidi'.
 
Back
Top Bottom